baleke

Hellen Baleke (born 3 May 1987) is a Ugandan amateur boxer notable for being the first Ugandan woman to win a bronze medal in boxing at the 2019 All Africa Games.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Tafadhali dirisha Dogo la Usajili likifunguliwa tu Onana wa Simba SC aachwe na ikiwezekana hata na Baleke pia

    Winga Mshambuliaji Onana baada ya Kumuona Mwenyewe katika Mechi alizocheza ( achilia mbali kule Rwanda alikokuweko ) nimegundua kuwa kwa 100% si Mchezaji mwenye Hadhi ( Profile ) ya Kuicheza Timu Kubwa na inayohitaji Matokeo ya haraka kama ya Simba SC. Cha muhimu na kipekee alichonacho Onana ni...
  2. GENTAMYCINE

    Jean Othos Baleke angeacha ule Upumbavu wake ambao Uliwatoa kwa muda Wachezaji Mchezoni Al Ahly FC wasingepata lile Goli lao la Pili

    Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua. Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta na kumsababisha Mshambuliaji Jean Baleke kwa dakika Mbili au Tatu kuwa na Mzozo na Mwamuzi...
  3. Suley2019

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  4. Pang Fung Mi

    Nimeota Jean Baleke atafunga goli la kwanza zuri Uzinduzi wa AFL, japo pia ataumia. Nitaumia sana

    Baleke, Chama na Kibu wataivusha Simba SC kwenda semis Mungu atupe heri ya Uzima ijumaa itakuwa raha na furaha kwenye uwanja tukufu wa Mkapa. Inshallah Tanzania tumepata heshima kubwa sana. Simba SC tumeitengeneza hii heshima na tuilinde kwa wivu mkubwa sana. Shukrani 🙏🙏🙏
  5. Kurunzi

    Robertinho: Bocco ndiyo anayefuata Maelekezo yangu Vizuri Kuliko Phiri na Baleke, Aachane na Kelele za Mashabiki wa Simba

    Akizungumza na Mwanaspoti jana, kocha Robertinho alisema ameionah ali ya mashabiki wa klabu hiyok utomkubali Bocco, ila kwam tazamo wake bado ni mshambuliaji bora anayeweza kucheza kwa maelekezo na kuisaidia timu, hivyo hawezi kumuacha nje kizembe. Mbrazili huyo alisema Bocco pekeea mekuwa...
  6. K

    Baleke Ndiye Mfungaji Hatari zaidi Kwa Sasa NBC League!

    Baada ya Mechi hizi za raundi ya tatu za Ligi ya NBC. Imejidhihirisha Jean Othos Baleke ndiye mchezaji Hatari Zaidi kwenye safu ya Ushambuliaji Kwa Sasa Nchini Tanzania. Sio kwamba wengine hawapo, Ila Yeye ndiye Kiumbe Katili zaidi ndani ya 18 akiwa na mpira ukilinganisha na Wengine kwenye...
  7. Lupweko

    Kuhusu golikipa wa Simba (Lakred) na Baleke, sikubaliani na wanaosema eti walicheza vibaya

    Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi za wazi, huku hawaangalii jitihada alizofanya golikipa wa Dynamos. Kosakosa alizofanya Baleke...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    "Mama Baleke" kuchezesha Simba na Yanga kesho

    Florentina alichezesha mechi ya Mtibwa akipigwa 3 na Baleke. Akachezesha mechi ya Ihefu Baleke akipiga 3 kati ya 5 Nimeanza kuwaonea huruma
  9. GENTAMYCINE

    Jean JINI Baleke karejea Dar es Salaam na Simba SC hivyo taabu iko pale pale

    Mwambieni Yule Meno Kuungua wenu, mla Mirungi na Mporwa Wake zake aliyeandika katika Instagram Page yake kuwa Baleke kaondoka rasmi Simba SC kuwa amerejea rasmi Tanzania na Simba SC hivyo asipende kuwa na Kiherehere. Imeisha hiyo.....!!
  10. GENTAMYCINE

    Kwa uwezo mkubwa wa Mayele ni Mwehu tu ndiyo atasema Phiri na Baleke wako juu yake

    Fiston Kalala Mayele ni Mshambuliaji mwenye kila Kitu ambacho Kocha atakipenda. Kwanini GENTAMYCINE nampenda mno Fiston Kalala Mayele kuliko Wengine Wanaojitafuta akina Phiri na Baleke? 1. Mayele ana Akili nyingi 2. Mayele ni Mpambanaji 3. Mayele anajituma vilivyo 4. Mayele ana Nguvu 5. Mayele...
  11. A

    Baleke anayetakiwa kusajiliwa Ulaya ni huyu huyu aliyefunikwa na Ruvu Shooting au mwingine?

    Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?
  12. Suley2019

    Baleke atakiwa na timu ya Ulaya

    ◉ TP Mazembe imepokea ofa rasmi kutoka Ulaya kwa Jean Baleke, imethibitishwa 100%. ◉ Klabu iliyowasilisha ofa hiyo ilicheza hatua ya makundi ya Ligi ya Europa msimu huu na mwaka ujao, itacheza Ligi ya Mabingwa ya UEFA. ◉ Mkataba unaotolewa ni wa miaka mitatu. ◉ Simba imearifiwa na ofa hii na...
  13. NetMaster

    Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

    Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni 1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ? 2. Atabaki Simba ? 3. Yanga watatumia nguvu ya pesa kumleta jangwani ?
  14. chiembe

    Viongozi wa Simba, suala la Baleke kuwa na mkataba wa kudumu na Simba msilichukulie kama ni la kawaida

    Baleke ni hazina ya Simba, Sasa tunawapa angalizo viongozi wa Simba, hakikisheni Baleke anakuwa Mali ya Simba jumla. Vinginevyo tutatoana roho
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Jean Baleke aliionea huruma Yanga?! HBD

    Pale Baleke sio wa kukosa magoli. Ile ilikuwa huruma kwa watoto wadogo kisoka. Alikuwa na kila hali ya kupiga hat trick zake. Hii kwa afya ya Uto isingekuwa sawa. Happy Birthday Jean Jini Baleke
  16. The Burning Spear

    Derby ya leo FT 1:1. Yanga ikitangulia na Baleke kusawazisha

    Yanga atatangulia kumfunga Simba Leo, baadaye Baleke ataisawazishia Simba. FT. Yanga Vs Simba 1:1. Nipo paleee
  17. Christopher Wallace

    Utabiri wa mwisho: Nimeambiwa sio Baleke wala Mayele watakaofunga kwenye dabi ya leo

    Kwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet. Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa. Duru zinasema hapatakuwa na magoli mengi leo kwani magoli yatakuwa mawili au moja tu. Na hapatakuwa droo. Kwa...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Jean Baleke atamani kuinywa Yanga mchuzi

    Jean Baleke (kulia) akifanya yake. STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi. Baleke amejiunga na...
  19. D

    ⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini?

    Ni Derby ya Kariakoo kwenye dimba la Mkapa Jumapili hii na kama kawaida yangu mzee wa mikeka haiwezi nipita hii😂😂Mapema kabisa naweka mkeka wangu pale Sokabet Nampa YANGA ashinde au adroo! 😂Ushabiki pembeni, Pesa Kwanza!
  20. Izy_Name

    Simba SC yatinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia huko twitter

    Klabu ya Simba SC Kutoka Tanzania Inatinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwenye Mtandao wa Twitter Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia linaloendeshwa kupitia mtandao wa...
Back
Top Bottom