Hellen Baleke (born 3 May 1987) is a Ugandan amateur boxer notable for being the first Ugandan woman to win a bronze medal in boxing at the 2019 All Africa Games.
Habari kuhusu mshambuliaji Jean Baleke wa Simba imewaacha mashabiki wa Yanga wakishangaa kutokana na ubora wa mchezaji huyo katika kupiga mabao. Baleke amekuwa akifunga mabao kwa wingi na kwa sasa kocha wake amewapa mabosi wa Simba ramani ya kumweka ndani ya timu hiyo.
Kocha wa Simba...
Baada ya Bocco kusema na Mungu wake alipopitia nyakati ngumu zilizotokana na kunyang'anywa namba na Phiri, maombi yalijibiwa na wote tu mashahidi wa nini kiliendelea. Phiri sasa anamuogopa na kumuheshimu Bocco kama ukoma.
Sasa juzi hapa Mwenda amempeleka tena Bocco kwa wakulungwa huko madizini...
Mchezaji Bora wa mwezi Jean Baleke super finisher ameonesha kiwango kikubwa kwenye mechi za karibuni,Ile acrobatics ya Jana waooh what a player wazungu wanasema.
Baleke ukitaka nyota yako ing'ae focus na mechi ya dabi sababu ni mechi kubwa iliobeba hisia za mashabiki wengi hapa Tanzania na nje...
Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu
Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo
Kuringa sana ni kama mtu anateringia gari la mkopo kama vile ni lake
Huku tukijisahaulisha ukweli mchungu...
Haiwezekani Mchezaji wetu Yanga SC Kennedy Musonda tuliyemsajili kwa Mbwembwe zote huku tukiwacheka Simba SC kwa Kumsajili Mchezaji tuliyeona ni Garasa (Kapi) Jean Baleke hafungi na anakimbiakimbia tu Uwanjani kama Mlevi wa Togwa huku yule tuliyemdharau (Baleke) akiwa anafunga tu Magoli na...
Nimecheki mechi ya leo na iliyopita huyu wa kuitwa Baleke ni surprise na si kitu kizuri akitumiwa effectively mechi ya jumapili.
Bado hajaweza kusomeka vizuri na huenda ana vitu extra ambavyo ndani ya muda mfupi bado hakuweza kuviweka, hii ni hatari mithiri ya adui anaetumia mkono wa kushoto...
Majira ya Saa 10:00 Alasiri kwa masaa ya Afrika Mashariki, Ihefu Fc itawakaribisha Simba Sc katika dimba lao la Highland Estates katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Habari kubwa leo, nani wa kumzuia Jean Baleke ambaye amekuwa hazuiliki sasa, kwa taarifa yako Baleke kwasasa anafunga kila...
JEAN BALEKE NI MCHEZAJI WA TP MAZEMBE
"Jean Baleke ni mchezaji halali wa TP Mazembe ambaye kwa sasa anacheza Simba kwa Mkopo wa makubaliano ya misimu miwili
"Simba haikumnunua moja kwa moja mchezaji huyu yupo pale kwa Mkopo ila ni mchezaji wa TP MAZEMBE,"Msimamizi wa Mchezaj
Hili ni jini lisilokabika, mkijitahidi sana baki litawapiga hata kamoja. Huwezi kulifananisha na vitu vya kijinga. Labda alinganishwe na kundi.
Ndiye mchezaji bora wa mwezi Machi
Baleke yupo kwenye kiwango bora sana, lakini kwa mifumo ya Nabi pale Yanga hachezi!
Chama mwenyewe chini ya Nabi ananzia benchi. Ni inonga tu, anaweza kuingia kwenye kikosi cha Nabi moja kwa moja, kwa nature ya uchezaji wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.