balozi simon sirro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 RC Sirro: Hatukatazi watu kukaa vikundi lakini mnakaa kwa lengo gani?

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema kuwa hawakatazi watu kukaa vikundi wakati ama baada ya kupiga kura kesho Oktoba 29 2025, kama watu hao watakuwa wanajadili mambo ya kawaida tu. Balozi Sirro amesema itakuwa shida tu pale watu hao wanaokaa vikundi wakiwa na lengo la kutaka...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 RC Sirro: Diamond alisema sahihi, msilalamike fanyeni kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amewataka vijana kutumia muda wao kufanya kazi kwa bidii badala ya kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii kulalamika. Sirro amesema vijana wanapaswa kujiuliza kila siku, kuanzia asubuhi hadi jioni, ni kazi gani wamefanya kwa ajili ya familia...
  3. JamiiForums Tanzania Balozi Simon Sirro: Watumishi timizeni wajibu wenu, kwa maendeleo ya taifa

    Mkuu wa mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka watumishi mkoani Kigoma kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi na kutimiza maelekezo na wajibu lakini pia kuwatumikia wananchi kwa maendeleo ya taifa na jamii kwa ujumla.
  4. JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC? Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…