bandari ya zanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia habinafsishi wala kuuza bandari ya Zanzibar na Uwanja wa ndege wa Zanzibar?

    Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳. Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai. Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaingia kwenye ushirikiano na Uholanzi ili kufanya uwezekezaji zaidi kwenye bandari. Kuna usalama kweli au ndo yale yale ya DP World?

    Wakuu inaonekana sekta ya bandari huko Zanzibar inazidi kukua na kuonesha ubora wake duniani Na hii ni baada ya hivi karibuni Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kwa kushirikiana na Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) pamoja na Ubalozi wa Ufalme wa Uholanzi nchini Tanzania wamekaribisha...
Back
Top Bottom