Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳.
Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai.
Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na haina maslahi kwa Tanganyika ndio maana mali za Zanzibar ambako ndio kwao hazigusi, wala hazitafutii wawekezaji.