Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
- Thread starter
- #61
Sasa Samia ni rais wa wapi? Kama Tanzania ni Tanganyika iliyouliwa kinyama, basi ni wakati sahihi wa kuamkaZanzibar ina Raisi wake mwenye mamlaka ya kufanya hivyo ni Rais wa Zanzibar sio Samia