CCM imeifanya Tanganyika kuwa shamba la bibi, wazemji wanajipimia watakavyo.Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳.
Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai.
Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na haina maslahi kwa Tanganyika ndio maana mali za Zanzibar ambako ndio kwao hazigusi, wala hazitafutii wawekezaji.
Utasubiri sanaUwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳.
Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai.
Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na haina maslahi kwa Tanganyika ndio maana mali za Zanzibar ambako ndio kwao hazigusi, wala hazitafutii wawekezaji.
InasikitishaCCM imeifanya Tanganyika kuwa shamba la bibi, wazemji wanajipimia watakavyo.
Well said Nsumba NtaleWatanzania mko wapumbavu sana.
Kwa nini unamuita Rais? Nani alimchagua awe Rais?
Ukweli mchunguWajinga ndio waliwao. Watanganyika tunataka Mapinduzi tuyatazame kwenye Televisheni.
Sisi kama watanganyika tumeshindwa kuikomboa Nchi yetu, hivyo acha tuuzwe labda ipo siku moja tutaweza.
Revolution will not be Televised.
Bado hazijatufaa akili zetu, hivyo acha tupate madhara ya Ujinga wetu.
Kule ni inchi nyingine huru boss. Huu myngano ni wa kipumbavuUwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳.
Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP ORLD kutoka Dubai.
Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na haina maslahi kwa Tanganyika ndio maana mali za Zanzibar ambako ndio kwao hazigusi, wala hazitafutii wawekezaji.
Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳.
Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai.
Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na haina maslahi kwa Tanganyika ndio maana mali za Zanzibar ambako ndio kwao hazigusi, wala hazitafutii wawekezaji.
Kwanini sisi tutawaliwe na Mzanzibari?Zanzibar ina serikali , katiba yake na Raisi wake . Tangnyika aliiuwa Babu yenu Nyerere
Watanzania mko wapumbavu sana.
Kwa nini unamuita Rais? Nani alimchagua awe Rais?
Unampenda sana Samia eeh?Well said Nsumba Ntale
Wote hao ni haramu.Ukimuita usimuite , Samia ndiye Raisi hakuna mwengine na Ndejebi makamo wake
Mlimweka wenyewe wa Tanganyika, kwa vishindo huku wengine mkicheza ngoma baada ya kupendekezwa na Kikwete au nikuwekee videoKwanini sisi tutawaliwe na Mzanzibari?
Wako wapi walio halali ??Wote hao ni haramu.
Kwani nina mimba? Samia anapendwa na wanaume wenye mimba kama Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable Tlaatlaah na ndezi wengineUnampenda sana Samia eeh?