Wakuu inaonekana sekta ya bandari huko Zanzibar inazidi kukua na kuonesha ubora wake duniani
Na hii ni baada ya hivi karibuni Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kwa kushirikiana na Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) pamoja na Ubalozi wa Ufalme wa Uholanzi nchini Tanzania wamekaribisha...