Vile ambavyo serikali ya awamu ya tano iliwaaminisha wananchi kuwa bandari ya Bagamoyo ulikuwa mradi usiotufaa kwa masharti yake, na ikafikia hatua ya kuuita kwamba ni mradi ambao ungekubaliwa na mtu mwendawazimu. Je, serikali imegeuka kuwa mwendawazimu?
Inawezekana maslahi yapo lakini mashaka...
"DP World atafanya kazi maeneo yaleyale aliyopewa kulingana na masharti ambayo tumemuwekea. Lakini bandari zote zitaendeshwa na TPA au mwekezaji mwingine au mwendeshaji mwingine wa ndani au wa nje ambaye tutakubaliana naye."
- Mkurugenzi Mkuu TPA, Plasduce Mbossa
Naibu Waziri Kihenzile Akagua Upanuzi wa Bandari ya Pangani, Bandari ya Kipumbwi na Bandari ya Mkwaja Zinazotumika Kusafirisha Ndani na Nje ya Nchi Bidhaa za Mifugo, Saruji, Mbao
"Nikiwa nimeambatana na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe Zainab Abdallah tumetembelea Ujenzi (upanuzi) wa Bandari ya...
Hii ya mwisho.
Nawapa ramani wazee, UTRAFIKI uko njema sana. Ukikaa site nzuri mia 5 per day ni kawaida sana
Ila TIHARA HEI ukikaa kitengo per day kutoka na milioni 10 kawaida tu.
TPA nako kutoka na milioni 2 per day ni mchezo mdogo tu.
Sema UTRAFIKI uko juu kwakuwa ni uhakika, yaani ukiingia...
Wanaukumbi.
Malaysia ilisema itazuia Huduma Jumuishi za Usafirishaji za ZIM zenye makao yake makuu nchini Israel kutia nanga katika bandari zozote za taifa la Asia ya Kusini-Mashariki, hatua ambayo inaashiria kuongezeka kwa kuchanganyikiwa kwa vita huko Gaza.
Nchi hiyo pia inapiga marufuku...
Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa....
Nakumbuka mwarabu alipewa bandari zote baada ya Wabongo kushindwa, itabidi hatimaye zipewe mzungu maana hata mwarabu ni wale wale...
13 December 2023
Dar es Salaam, Tanzania
SERIKALI YAKABIDHI ENEO LA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM KWA BANDARI YA DAR ES SALAAM BAADA YA MRADI WA EPZA KUFELI
Eneo lililokuwa maalum kwa uwekezaji chini ya Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji (EPZA) lakabidhiwa kwa bandari ya Dar es Salaam iliyo...
Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza.
Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganza...
Mahakama Kuu imesitisha kwa muda mpango wa serikali kubinafsisha bandari hizo kutokana na ombi la wakazi wa maeneo hayo wanaodai Ubinafsishaji huo una njama za kutwaa usimamizi na mali za Mamlaka ya Bandari (KPA).
Kwa mujibu wa Wafungua Shauri, wamedai mpango wa Ubinafsishaji wa Gati za Bandari...
Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini.
Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan kutumia zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa...
UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO NKINDIKWA DAVIDKUHUSU TATHMINI YA ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NAUENEZI WA CCM TAIFA, NDG. PAUL CHRISTIANMAKONDA ALIYOIFANYA KATIKA MIKOA YA KANDA YAZIWA MWEZI NOVEMBA 2023.
1. UTANGULIZI
Ndugu waandishi wa habari leo jumatatu tarehe 20/11/2023 nimewaitaili...
Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli
===============
UPDATES...
Hofu na wasiwasi vimetanda kwa wananchi jijini Mbeya kufuatia askari polisi kuzagaa kwa makundi maeneo mbalimbali tofauti na siku nyingine.
Hata hivyo hakuna...
Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika
CHANZO CHA PICHA,AFP
Maelezo kuhusu taarifa
Author,Na Beverly Ochieng
Nafasi,BBC Monitoring, Nairobi
24 Oktoba 2023
Mkataba wa mamilioni ya dola uliotiwa saini kati ya kampuni kubwa ya baharini ya Emirati DP World na Tanzania...
Uteuzi wa Paul Makonda au ukipenda Bashite ni mkakati wa kutuondoa kwenye hoja za msingi kama Katiba Mpya na Bsndari.
Tangu ateuliwe amekuwa mtu wa kuropoka ropoka mkakati ukiwa kutuondoa kujadili masuala ya maana na kuanza kujadili upuuzi wake.
Inavyoelekea baadhi ya Watanganyika wasiopenda...
Hizi hatua za kenya za kupunguza bei tunapaswa kuzitizama upya lama hazikiuki east africa protocals, na kama wanashusha bei nasie tushushe nao sambamba...
Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.