barabara mbezi makonde

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu hali mbaya ya barabara ya Mbezi Makonde, bajeti zinatengwa ila haitengenezwi

    Barabara ya Mbezi Makonde kuelekea Baraza la Mitihani, kupitia eneo la kwa Mzee Warioba, Waziri Mkuu mstaafu, imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu bila kufanyiwa ukarabati wa kudumu. Kila tunapouliza kuhusu uboreshaji wa barabara hii, tunaambiwa wananchi tujichangie na kuitengeneza wenyewe...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Makonde-Dar: Baada ya Greda kupita kabla ya Uchaguzi wa Mitaa, sasa kifusi laini cha tope kimemwagwa, tunachezewa au?

    Barabara ya Makonde inayoelekea Kanisa Katoliki Mbezi Juu imekuwa kero ya muda mrefu kwa watumiaji wake, hususan wa vyombo vya moto, kutokana na mashimo mengi na miundombinu duni. Hivi karibuni, kumemwagwa kifusi laini cha udongo mtupu ambacho, endapo mvua zikinyesha, kitazidisha hali mbaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…