barabara za vijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tutahakikisha barabara za vijijini inajengwa kwa changarawe na umeme katika vitongoji Kigoma

    Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika kampeni kunadi sera Kigoma Mjini amewaahidi wananchi kuwa watahakikiha barabara zote za vijijini ambazo hazipo kwenye mpango wa kujengwa kwa lami inajengwa kwa changarawe ili kupitika misimu yote mwaka mzima Pia...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini barabara za vijijini huwa hazijengwi kwa lami?

    Kwenye majiji angalau unaweza kuona barabara za lami au zege zinajengwa mitaani ila ni nadra sana kukuta barabara za vijijini zina lami, labda kwa mikoa michache kama Kilimanjaro. Kuna sera inayoelekeza barabara za lami zijengwe kwenye mitaa ya majiji na sio vijijini?? Hii hapa ni barabara ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uboreshaji wa miundombinu ya barabara za vijijini ili kujenga uchumi bora kwa wananchi pamoja na halmashauri

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inajitahidi sana kuboresha na kukarabati miundombinu ya barabara lengo likiwa ni kurahisisha mnyororo wa thamani kwa bidha, mazao shughuri nyingine za kiuchumi ili ziweze kufanyika kwa urahisi lakini jitihada hizi za uboreshaji zimepewa kipaumbele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…