GE2025 Rais Samia: Tutahakikisha barabara za vijijini inajengwa kwa changarawe na umeme katika vitongoji Kigoma

GE2025 Rais Samia: Tutahakikisha barabara za vijijini inajengwa kwa changarawe na umeme katika vitongoji Kigoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika kampeni kunadi sera Kigoma Mjini amewaahidi wananchi kuwa watahakikiha barabara zote za vijijini ambazo hazipo kwenye mpango wa kujengwa kwa lami inajengwa kwa changarawe ili kupitika misimu yote mwaka mzima

Pia ameeleza kuwa tayari serikali yake imefikisha miundombinu ya umeme kwenye vijiji vyote na sasa wananmalizia vitongoji vya Mkoa wa Kigoma

 

Attachments

  • 2025-09-14 15-09-15.mp4
    41.9 MB
Back
Top Bottom