barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Barabara ya Watumwa Ujiji-Kigoma hadi Bagamoyo

    https://youtu.be/vm8vLR6wjPE?si=f435piPZe4i3EU_F
  2. Usafi sio kufagia barabara tuu ni pamoja na kufyeka kuchimba mitaro na kurekebisha barabara zenye makorongo

    Kufuatia tamko la mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh. Chalamila kuwa tare 23 vyombo vya ulinzi vitafanya usafi mkoa wa dar salaam mi naona kuwa kwa kuwa hivyi vyombo viko vingi angepanga kwa mafungu kuwa chombo hiki kije na maslesha chombo hiki kije na sururu chombo hiki kije reky na hiki...
  3. Kuna Upigaji mkubwa sana kwenye Miradi ya Ujenzi hasa Barabara

    Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania. Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua...
  4. Viwanja vinauzwa mita 30 kutoka barabara ya lami ya Makongo-Goba

    Habari za muda huu... Viwanja vinauzwa.. 📍 Vipo goba kantina (Makongo road) ⌚ Dakika mbili kutoka Goba center 🔥 ⌚ Dakika 15 kutoka Mlimani city 🔥 🛣️ Mita 30 tuu kutoka barabara ya lami 🏟️ Upande wa kulia kutokea Mlimani city 🏟️ Upande wa kushoto kutoka Goba 🏟️ Viwanja vipo tambalale...
  5. Plot4Sale Viwanja vizuri Goba Kantina, mita 30 tu kutoka barabara ya lami ya Makongo Road

    VIWANJA VINAUZWA GOBA KANTINA (MAKONGO ROAD) Viwanja vipo mita 30 tuu kutoka barabara ya Lami ya Makongo. Viwanja vipo tambarare kabisa. Dakika 2 tuu kutoka site mpaka Goba Centre. Dakika 15 tu kutoka site mpaka Mlimani City. Viwanja vimezungukwa na nyumba za kisasa kabisa. Wale wasio penda...
  6. M

    RTO Arusha, jipange na watu wako kabla hujapangwa. Matumizi ya barabara yapo hovyo

    Kwa sasa Arusha inaweza kuwa inaongoza kuwa jiji la hovyo kwa watumiaji barabara hasa eneo la mjini kati. Aina na watu na tabia zake inahitaji kuweka utaratimu wa parking, uelekeo wa njia. Mjini kati kumekuwa na matumizi ya hovyo sana ya barabara, double parking afu bado njia zinapitisha magari...
  7. K

    Barabara ya Kisoko-Silivini Mwanza: Hali mbaya yawa tishio kwa Watumiaji

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kisoko, Kata ya Luchelele, Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ninachojiuliza ni kuwa lini utatuzi wa barabara inayounganisha Mtaa wa Kisoko na Mtaa wa Silivini itatekelezwa? Hii barabara haipitiki kwa usafiri wa gari kutokana na uwepo wa Korongo kubwa ambalo limetokana...
  8. A

    KERO Ubovu wa Barabara Masaki eneo la Fitness na Lake Oil

    Kuna shimo barabarani kwenda Masaki eneo la fitness na lake oil na mbele yake kuna tuta. Inakuwa changamoto kwa watumiaji wa barabara hii hasa magari yakikutana kupishana ni changamoto.
  9. S

    Unajenga barabara juu ya maji wakati ndani ya nchi kwa mfano Arusha -Kiteto barabara ni mbaya sana kuna gari moja tu

    Ukipitia barabara ya Arusha-Kiteto(Manyara) kupitia Orkesumet(Simanjiro) ni mbaya sana, basi linajaa kuanzia Arusha ni kukanyagana ni afadhali miaka kabla ya uhuru. Upande wa pili barabara zinapita juu ya maji njia 4 Km 3.2 ndani ya nchi ile ile. Niliumia sana na kuwashangaa wamasai. Bado kuna...
  10. Naibu Waziri Katimba: Serikali Itaendelea Kutenga Fedha ya Kukarabati Barabara Korofi Nchini

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA FEDHA YA KUKARABATI BARABARA KOROFI NCHINI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kutenga fedha ya ukarabati wa barabara korofi nchini zilizoathiriwa na Mvua za El - Nino...
  11. Imekuaje barabara karibia nchi nzima zinabomolewa na kuachwa kwa mda mrefu bila marekebisho

    Hii ni Tabia chafu sanna ya kufumua barabara kisha inaachwa zaidi ya miezi sita huku ikiathiri maisha ya watu kwa maradhi ya macho mafua vifua vumbi kali sanna magari kuharibuka kwa mashimo tumerudi miaka nyuma huko. Kwanini kama budget hazijatengwa barabara zifumuliwe? Naendelea kusema...
  12. Bilioni 2.5 Zilitumika Kulipa Fidia kwa Wananchi Waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu - Ifakara

    BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
  13. Bashungwa: Tsh. Bilioni 2.5 zimetumika kulipa fidia kwa Wananchi waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu – Ifakara

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo ndani ya hifadhi ya barabara ya Mita 22.5. Hayo yameelezwa leo Septemba 3,2024 Bungeni Jijini Dodoma...
  14. R

    Mhe. Innocent Bashungwa irekebisge barabara ta Tabga -Pangani iwe kama ilivyokuwa zamani kulko uharibifu uliofanywa na wachina

    Kipanda cha Tanga Kibaoni, hakipitiki. Ni tope tupu na barabara ya pembeni hiyo ndiyo kadhia kubwa hasa. Irudishe kama ilivyokuwa zamani iweze kupitika ! achana na lami maana mmeshindwa!
  15. KERO Barabara ya Igombe – Kahama (Mwanza) inatupa mateso makubwa Wananchi, Serikali ije kuokoa jahazi

    Ni Mwendo wa takribani kilomita 16 nilipoianza safari mimi na abiria wenzangu kutoka mjini Mwanza kwenda Igombe, Kata ya Bugogwa, iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza. Tunasafiri kwa dakika kadhaa na kufika stendi ya Igombe, nashuka na kusogea katika maegesho ya pikipiki...
  16. R

    DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

    Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
  17. Serikali huu ndio muda wa kuzibua na kujenga mitaro pamoja na kukarabati barabara mbovu, msisubiri mvua zifike muanze visingizio na maigizo

    Wakuu salam, Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya barabara kushindwa kufikika baada ya maji kujaa. Pia soma: KERO - Shukran DAWASA kurekebisha...
  18. D

    Zile barabara 8 zilizosainiwa tarehe 16.06.2023 kwa mbwembwe ziko wapi?

    Tarehe 16.06.2023 zilisainiwa barabara 8 zaidi ya Km 2200 nchi nzima, ila mpaka leo hii hakuna ht moja iliyoanza kujengwa. Ile ilikuwa ghilba? Walikuwa wanamdanganya nani, kwa faida ya nani. Tunaona Rais yuko bize na Kizimkazi, ni Rais yupi anafuatilia utekelezaji wa ujenzi wa ile mikataba...
  19. Tazama hali ya Barabara za masaki 2024! Ni aibu ya nchi

    Hali ya Barabara za Masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo Hiv serikali inashindwa...
  20. M

    Huko mtaani, wilayani kwako ni mradi gani wa serikali kama ni barabara kiwango cha lami, kiwango cha tope mkandarasi anaendelea na ujenzi?

    Nyie chawa mko na shida sana. Niwaulize hivi kwanini Bakhresa, Rostam hatuoni wakihangaika kumsifia Samia. Hivi ni serikali gani inayohitaji kusifiwa kutokana na ufugaji wa pesa hadi kupelekea kushindwa kuwalipa Wazayuni kwa miezi mi3 sasa. Tokea june 30 mfumo wa malipo wa serikali daktari wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…