barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    KERO Foleni Kubwa Barabara ya Mwai Kibaki: Kila Siku ni Kizungumkuti Asubuhi na Jioni

    Kumekucha Wadau. Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki. Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
  2. Tabutupu

    Kwenye barabara za mwendokasi, ifungwe mitambo ya kuzalisha umeme (windpower)

    Nimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita.. NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo...
  3. mackj

    Barabara inayojengwa kibada-mwasonga wananchi wanapogwa na wakandarasi

    Barabara ya kibada-mwasonga inayoendelea na ujenzi mkandarasi hajaweka barabara ya mchepuo (diversion) kitu kinachopelekea watumishi wanaojenga barabara hiyo kuwazuia watumiaji wa barabara kutopita mpaka wamalize kazi yao kitu amabacho kinazua usumbufu mkubwa hivyo watumiaji wa barabara wakiwemo...
  4. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa awabana Wakandarasi wanaojenga Barabara ya Mzunguko Dodoma, ataka kazi ikamilike kwa wakati

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port - Matumbulu - Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha...
  5. Dalton elijah

    Miundombinu ya barabara za Afrika ni hatari zaidi Duniani

    Afrika yenye barabara na magari machache zaidi katika eneo lolote duniani, lakini ni bara lenye idadi kubwa ya watu wanaokufa kutokana na ajali za barabarani. Ajali hizo zinachochewa na uzembe, mwendo kasi, ulevi na miundombinu duni. Ripoti ya Shirika la Afya Ulimwenguni WHO imetaja pia...
  6. S

    Mkandarasi wa barabara ya Mbeya mjini inayokwenda kwenda Zambia amesusa kutokana na kutolipwa na serikali?

    Wakuu, weekend hii nimeingia Mbeya kwa ku-drive toka Dar, na nikashangaa sana kukuta maendeleo kidogo sana ya ujenzi wa hii barabara ya kwenda Tunduma hadi Zambia toka nitembelee hapa miezi minne iliyopita. Nimeuliza wenyeji kwa nini kasi ya ujenzi wa barabara hii uko chini kiasi hiki...
  7. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Aagiza Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kuanza Kujengwa Upya

    RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha maandalizi na kuanza kujenga upya barabara ya Songea - Njombe - Makambako (km 295) pamoja na ujenzi wa...
  8. Roving Journalist

    TARURA: Barabara ya Goba Wakorea hadi Tegeta itakuwa ya lami, njia za watembea kwa miguu na taa za barabarani

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutaka kujua mrejesho kuhusu Jenzi wa baraba ya Tegeta kwenda Goba Wakorea umefikia wapi, TARURA wasema mchakato unaendelea. TARURA wamesema Barabara hiyo ya Goba Wakorea itakuwa ya kiwango cha lami ambapo ujenzi huo utakuwa na njia za watembea kwa miguu na taa...
  9. ndiuka

    Iringa Barabara ya kwenda Ipogolo tupo foleni kwa saa moja sasa

    Bara bara ya kwenda ipogolo ina jam tuko foleni lisaa sasa gari hazipandi wala kushuka wahusika toeni msaada
  10. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuanza Ujenzi wa Daraja la Mkili na Mitomoni Mkoani Ruvuma - Waziri Bashungwa

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
  11. BigTall

    KERO Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza hatuna Huduma ya Maji zaidi ya Mwezi, Wanaoboresha Barabara wameharibu Mabomba

    Sisi wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wetu hatuna huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara kwa nia ya kuboresha wameharibu mabomba na hivyo Mamlaka ya Maji kulazimika kukata maji. Wanachofanya wanaotengeneza Barabara ni jambo jema lakini sasa...
  12. J

    Rais Samia aidhinisha zaidi ya billioni 39 kwa ajili ya miundombinu ya barabara Ilala

    RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39 kwaajili ya kutatua changamoto za miundombinu ya barabara amepeleka mradi wa DMDP na wakandarasi...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia aipongeza AfDB kwa kuwezesha mkopo wa Tsh. Bilioni 630 za ujenzi Barabara ya Mbinga – Mbamba Bay (km 66)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuwa Mdau mkubwa wa sekta ya Miundombinu nchini ambapo wamewezesha mkopo wa Shilingi Bilioni 630 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mbinga –...
  14. Roving Journalist

    Wananchi wafunga Barabara ya Babati/Singida wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wananchi Wakulima na Wafanyabiashara wa Kata Masakata Wilayani Hanang mkoani Manyara, wamefunga barabara ya Babati /Singida na kusababisha msongamano mkubwa wa magari kwa saa moja, huku wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani, kwa madai ya kucheleweshewa malipo yao kwa muda...
  15. Roving Journalist

    Kona katika Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay (km 66) Ruvuma

    Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba 25, 2024. (📸 - Wizara ya Ujenzi)
  16. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia afungua Barabara ya Mbinga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma, leo Septemba 25, 2024. Ujenzi wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay (km 66) umesimamiwa na...
  17. Li ngunda ngali

    Wachina wanataka chao ili waendelee na ujenzi wa barabara Mbeya

    Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali. Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
  18. Last_Joker

    Miundombinu ya Miji ya Kesho: Jiji Lako Litakuwaje Miaka 10 Ijayo?

    Hebu tafakari kidogo – miaka 10 ijayo, jiji lako litakuwaje? Unafikiria majengo marefu zaidi? Magari yanayopaa? Well, sio mbali sana na uhalisia! Sasa hivi, tunazungumzia smart cities – miji ambayo inatumia teknolojia kuboresha maisha ya kila siku ya wakazi wake. Naamini umeona dalili za awali...
  19. Roving Journalist

    Serikali yasaini Mkataba Ujenzi wa Barabara ya Iringa - Msembe, Shilingi Bilioni 142.5 kutumika

    Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (km 104) kwa kiwango cha lami utakaogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 142.56 ili kufungua fursa za kiutalii, kiuchumi na kibiashara kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Utiaji saini...
  20. milele amina

    CCM: Ujenzi barabara ya Iringa - Msembe kilometa 104 kufungua fursa Nyanda za Juu Kusini, Ni utapeli Tena?

    https://www.jamiiforums.com/threads/zaidi-ya-km-2000-za-barabara-kuanza-kujengwa-kwa-mtindo-wa-epc-f-serikali-yasema-hazitalipiwa-tozo.2108484/
Back
Top Bottom