Katikatika ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, wanaonekana wanawake wenye mabeseni vichwani wakizunguka huku na huko.
Hawa ni wajasiriamali, wachuuzi wa mihogo mibichi, karanga, tende, mchele na nazi maarufu busta.
Wachuuzi hawa wanatumia msongamano kwenye makutano ya barabara kuuza...