Habari wanajukwaa.
Leo nilikuwa nasafiri nilipofika stend nimeikuta Noah inapakia abiria. Ajabu ticket ina maelezo ya gari nyingine, lakini yenyewe plate namba nyingine.
Tumetoka pale tupo 8 na ilipotoka stend ikapakia tena wawili kwenye buti, wengine wakasimama ndani na mwingine mbele kwa...
Akizungumza leo Sept. 4, 2023 wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Rais Samia amesema wananchi bado wanalalamikia tatizo la Rushwa hasa kwa Askari wa Barabarani.
Amesema “Mfano tukiweka Kamera za Barabarani hakutakuwa na sababu ya Askari kusimama Barabarani...
Hello habari za asubuhi!
Hii story nimewahi kuwasimulia wachache sana.
Ni rahisi kumtia moyo mtu kuwa magumu yatapita, Mungu atakusaidia kipindi uko vizuri na umeshiba. Ila ukipitia kipindi kigumu hata ushauri na courage utasikia kama kelele tu unapigiwa.
Nilihitilafiana na wazazi pamoja na...
Basi dogo lililokuwa limewabeba watu waliokuwa wakienda sokoni nchini Morocco limetumbukia kwenye korongo leo Jumapili, na kuua watu 24 katika mojawapo ya ajali mbaya zaidi za barabarani katika nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika, maafisa walisema.
Abiria hao walikuwa wakisafiri kwa njia ya...
Ujumbe huu ni kwa wewe askari uliyezimikiwa bodaboda yako mchana maeneo ya 88 Gloness Morogoro leo mchana, ulijua kabisa chombo chako hakina mafuta ya kutosha still ukaingia nacho barabarani, kimekatikiwa mafuta ukagandisha nacho barabarani ati hata wenye magari wakupishe, baada ya honi kuzidi...
Wakuu,
Mwezi wa 2 mwaka huu 2023, kulizuka taharuki maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, jijini Mwanza, ambapo mgambo walikuwa na zoezi la kuwatoa wafanyabiashara hao kwenye eneo walilokuwa wanafanyia kazi. Nini kilifata, wamachinga walipewa maeneo au wamerudi kuendelea kufanya kazi bararani...
Baada ya kufuatilia kwa karibu ajali zinazotokea mara kwa mara hasa zinazohusisha magari makubwa nimegundua kuwa, zaidi ya nusu zimesababishwa na overtaking (kupita gari la mbele bila kuchukua tahadhari. Mara nyingi mwendokasi umeweza kusababisha ajali pale dereva anapoacha kufuata taratibu na...
Habari. Naona kuna jambo zuri sana la kufunga taa za barabarani za sola. Zinagharimu kiasi gani taa hizo mbali na nguzo zake? Haziwezi fungwa kwenye nguzo za TANESCO mitaani?
Eneo Lina nyumba mbili ya mbele ina fremu 5 na vyumba 6 vya wapangaji. Na nyumba ya nyuma ni yakuishi ina vyumba 2 sebure, dinning na valanda.
N.B Unaweza ivunja na kujenga shell, hotel, dispensary n.k, au vyovyote utakavyo Eneo ni kubwa Zaidi ya sq meters 430+.
Mahali: Airport Dar es salaam...
Licha ya kuwa Mazoezi husaidia kujenga na kulinda Afya, kuna masuala muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza mazoezi ikiwemo kuchagua eneo la kufanyia mazoezi ambalo litakuwa salama kimiundombinu na kimazingira.
Katika siku za hivi karibuni watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi...
Tukumbushane wakuu, kufanya mazoezi ya jogging barabarani hapa Tanzania ni kujitoa mhanga na kusema uko tayari kufa.
Watu kila siku wanakufa kwa kugongwa na magari kwa kufanya mazoezi barabarani lakini watu hawasikii.
Mwanza watu 6 wamefariki kwa kugongwa na gari barabarani wakifanya mazoezi.
Kama kuna jambo ambalo limeamsha hisia na vuguvugu za kizalendo kwa kipindi kirefu kilichopita, na kupata sapoti ya wanazuoni wanaoheshimika ndani na nje ya nchi ni hili la bandari.
Pamoja na kuwa wazi kabisa kwamba kuna kila dalili ya kuja kulilia huko mbele ya safari kuwa viongozi wetu...
Rasta barabara ya Bagamoyo eneo la kuanzia Baobab, Kibosha, Mapinga shule hadi Kerege CCM ni kero kwa magari.
Ziwekwe alama nyingine za tahadhari kwa sasa.
Ni takribani miezi 10 sasa tangu nianze kuendesha chombo cha moto (pikipiki), Ingawa sina route ndefu kwani maximum route zangu ni kilometa 40 au chini ya hapo.
Kwa kipindi hicho cha miezi kumi nimeona baadhi ya makosa haya ambayo ni hatarishi na yanaweza kusababisha ajali:
1. Dereva wa...
Halmashauri ya Ilemela mkoani Mwanza imelekeza uongozi wa soko la Sabasaba lililopo maeneno ya Kiseke kutupa takataka barabarani baada ya eneo walilokuwa wanatumia awali kupewa mwekezaji. Takataka hizo zinatupwa barabarani katika makazi ya watu na karibu na mama ntilie kitendo kinachoweza...
Jeshi la Polisi limetoa maagizo kwa makamanda wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya doria katika barabara zote zitakazotumiwa na mabasi yatakayokuwa yanafanya safari zake saa 24 katika kudhibiti aina zozote za kihalifu.
Huo ni utekelezaji wa agizo lilotolewa, Juni 28, mwaka huu na Waziri...
SERIKALI ITEKETEZE KICHAKA HIKI CHA RUSHWA BARABARANI
UTANGULIZI.
Maana ya rushwa; Rushwa maana yake ni matumizi mabaya ya mamlaka au nafasi fulani iliyo rasmi kwa lengo lakujipatia faida binafsi kinyume na sheria na kanuni ya maadili ya nchi.Pia tunaweza kusema rushwa ni fedha au...
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi...
Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Ajali za Barabarani, na chanzo kikubwa huwa uzembe wa dereva kwa kupuuza alama za usalama barabarani au mwendo kasi au kutochukua taadhari.
JE, WEWE UNAONA NI MADEREVA GANI WAKO RAFU SANA BARABARANI?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.