Wengi wao.....
1. Wana Hasira (Usununu)
2. Wakali
3. Wajeuri (Ngumi Mkononi)
4. Wana PhD"s za Matusi
5. Hawajui Kutabasamu
6. Wana Stress na Frustrations
7. Mabingwa wa Kugongea Misosi ya Watu na Kulazimisha kupewa Lifti nyakati za Jioni / Usiku
Kuna Mmoja nimekutana nae mahala nimemchanganyia...
Habarini wana JF, kiufupi mimi shughuli zangu za kutafuta coins nazifanyia tu hapa hapa mtaa fulan huku Dodoma, ila zilipita siku nyingi kidogo kama mwezi hivi sijaenda town.
Sasa leo nikaona acha niende huko mjini kununua mahitaji kidogo, aisee nimeshtushwa kidogo baada ya kila kona ninayopita...
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu...
Kila mwaka polisi huandaa wiki ya usalama barabarani lakini hali ilivyo barabarani ni ileile ya siku zote zaidi ya kuuziwa stika ambazo hazipunguzi ajali! Vurugu za bodaboda na daladala ziko vilevile na pacha wao ajali.
Mimi naona lengo si kudhibiti ajali kwa kuwakumbusha madereva juu ya...
Leo waziri mkuu mh. Kasim Majaliwa amezindua wiki ya usalama barabarani.
Miongoni mwa watu wanachangia ajali za nyingi za barabarani ni polisi kupitia KIKOSI CHA KAMATA KAMATA
Polisi hao wanaokimbiza pikipiki bila utaratibu,wanachomoa funguo kwenye pikipiki sasa muendesha pikipiki anapowakwepa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.
Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa...
Katika kipindi kifupi cha Uhudumu wa huyu IGP mpya, pengine changamoto kubwa aliyokumbana nayo katika utendaji wake ni kukithiri kwa matukio ya ajali za barabarani.
Matukio haya yamekwenda sambamba na upotevu wa roho za watanzania, nguvu kazi ya Taifa. Inasikitisha sana.
Licha ya ajali...
Habari zenu wana jamii. Leo nimeona tuongeee kidogo kuhusu hawa askari wetu wa úsalama barabarani.
Ukiangalia hicho kiambatanisho hapo juu, hilo ni Kosa la barabarani ambalo askari amemuandikia dereva. Japo kuwa hilo Kosa inaonekana ni la kujitungia tu, lakini shaka yangu si juu ya hilo...
Hivi mtu unafikira nini mpaka unatoa haja ndogo na kuweka kwenye chupa na kisha kwenda kutupa mtaani? Huoni kwa kufanya hivyo mbali na kuharibu mazingira unahatarisha afya za wanaotumia barabara hiyo?
Kawe, DSM
Hizo kwenye video siyo petroli au pombe, ni mkojo! Lita mbili na zaidi! Mbaya...
Nimeshuhudia mara nyingi malundo ya molam yakirundikwa barabarani kwa ajili ya ujenzi wa Barabara na kukaa muda mrefu (wiki moja hadi mwezi), na kisha kusambazwa.
Mtaani nilipo, ni zaidi ya wiki ya tatu, toka molam imelundikwa.
Kwanini yasimwagwe na kusambazwa haraka. Je, kuna sababu za kitalaam?
Gari, tunatoka mbezi Gari inasukumwa mpaka round about ili iwake, Gari tumefika karibu na kwa Komba imepasuka Tairi. Konda hataki kurudisha nauli Ajali ikitokea tutamtafuta mchawi nani?
Kemea ajali
Hawa jamaa wa EFM jogging ipo siku watatulaumu na jogging zao. Halafu kwanini inakua jioni mida watu tunastress za kazini na bado mtuongezee jam wakati mnaweza fanya mazoezi maeneo ya wazi au beach?
Halafu hii kitu mbona kama iliwahi kukatazwa mbona nyie mnakomaa tu?
Adui zetu wakubwa barabarani sio Polisi bali ni Madereva wenzetu.
Kusema kweli adui zetu wakubwa barabarani ni madereva wenzetu kuliko hata hao Polisi tunaowaona maadui. Dereva anatumia nguvu nyingi kuchukua tahadhari dhidi ya Polisi kuliko hata dereva mwenzake. Kwa nini Polisi baadhi yetu...
Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam.
Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
Imagine Lissu alipigwa lisasi tena 32 na Mungu akamkingia kifua yule mwovu akaaibika akafa yeye lakini hakuna mtanzania hata mmoja ambaye alionesha kukerwa na jambo lilo kwa angalau kuonesha demonstration barabarani au kulaani tu.
Eti Leo Lissu anapambana na maisha yake wanashangaa kwamba...
Ukisafiri umbali mrefu kwenye Highways huku ukiwa makini utagundua kuwa, kuna alama nyingi tu hasa za speed limit hazipo barabarani; Nafikiri zimeondoka kwa sababu mbalimbali.
Mfano: Unakuta vibao vya Speed limit upande mmoja kipo, ila upande mwingine hakipo (ila kupigwa tochi kupo palepale)...
Wote tunajua kuwa Serikali haina fedha na ndio sababu Mama Yetu mpendwa anajitahidi Kwenda huko nje kukopa ILA cha kushangaza kila mwaka unasikia Mabilioni yameibiwa….
Na kingine cha kushangaza, nikupata hizo taarifa za wizi ulifanyika baada ya miezi kadhaa napengine miaka kadhaa. Hii...
Nianze kwa kutoa salaam na heri za mwaka mpya kwa jamii ya wanajamii forum wote.
Baada ya Salaam nirejee kwenye mada husika, Kwa siku za hivi karibuni ajali za barabarani zimekuwa tatizo na kichwa cha mwendawazimu, tumepoteza ndugu, Jamaa na marafiki kwa sababu ya ajali ambazo pengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.