Salam wanajukwaa,
Ninyi askari wa barabarani, hivi hii tabia ya kuongeza honi, kubadili sauti ya pikipiki kwenye bomba la moshi na kulifanya linapiga kelele kama limepasuka au kama imepiga bastola hamuoni kero hiyo?
Kufumbia macho mnataka kusemaje ni haki kisheria au ni uvivu ktk utendaji...