Baraka zinatoka kwa Baba na baba ndio MUNGU mwenyewe.
Baba yako akikubariki hiyo baraka huwa ni uhakika moja Kwa moja.
NB: Hapa nazungumzia Baba mzazi anayejitambua na aliyekuzwa katika maadili mazuri ya Kumjua Baba yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.