GE2025 James Mbowe kwenda CHAUMMA ni wazi ana baraka za baba yake, and this tells a lot!

GE2025 James Mbowe kwenda CHAUMMA ni wazi ana baraka za baba yake, and this tells a lot!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hahaha wapi wale wa voice from within?

Wanasema wameoteshwa kesho jua litatoka asubuhi na litazama Jioni.
 
Kama kuna mti anaweza kumshauri mbowe iwapo fununu hizi ni za kweli amshari aweze kuachana na huu mpango, itagarimu sana heshima kuliko inavyo dhaniwa.
 
Back
Top Bottom