barakoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Natembea nimevaa Barakoa

    Wakuu Salaam!. Juzi nikiwa nimemaliza dozi ya UTI nikasema ngoja nijipe pole kwa kujivinjari na mpenzi wangu. Katika kujivinjari akaniomba nizame uvinza na mimi bila hiana nikazama, Tukafanya ya kufanya mpaka mwisho. Sasa Leo nimeamka mdomoni kwa pembeni kukiwa na upele wa kutosha,Now...
  2. Roving Journalist

    Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023 Saa 4:00 Asubuhi...
  3. Poppy Hatonn

    Leo nimepita maeneo ya Muhimbili Hospital nimenunua barakoa

    Nimenunua barakoa sh. 500. I noticed yule mwanamke anayeuza barakoa mkono wake wa kulia ile middle finger ina bendeji. Kwa hiyo akawa ananipa barakoa kwa uangalifu sana,in fact amekwenda ndani kuzichukua akaja kunionyesha kwamba anafungua pakti mpya,na ile barakoa nikaichomoa mwenyewe...
  4. The Assassin

    #COVID19 Uingereza: Hakuna chembe ya ushahidi ya aina yoyote ya Barakoa kuzuia maambukizi ya Covid-19

    Mamlaka ya Afya ya Uingereza inayoitwa UK Health Security Agency imekiri kwamba hakuna chembe ya ushahidi wowote wa aina yoyote ya Barakoa inayoweza kuzuia maambukizi ya Covid-19. Mamlaka hiyo imesema hata barakoa za kiwango cha juu kabisa za N95, KN95 and FFP2 hazina uwezo wowote wa kuzuia...
  5. Superbug

    Star tv na tangazo lenu la corona na kuvaa barakoa leo hii siwaelewi.

    Star tv ina mambo ya kishamba sana sasa lile tangazo lenu la kuvaa barakoa leo hii linamaana gani?
  6. Sildenafil Citrate

    #COVID19 Serikali yaondoa ulazima wa kuvaa barakoa

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali imeondoa ulazima wa kuvaa barakoa isipokuwa pale inapobidi, mfano kwa wale wenye magojwa ya mfumo wa hewa na kwenye mikusanyiko ya ndani. Hii inatokana na kupungua kwa maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini na Duniani kote. Kulingana na...
  7. BARD AI

    Rais Samia: Wizara ya Afya ituambie tuendelee kuvaa barakoa au tupumzike

    Rais ameiagiza wizara hiyo kufanya tathmini ya hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini na kutoa utaratibu kama bado kuna haja ya wananchi kuendelea kutumia barakoa. Amesema “Inaonyesha watu wamechoka nazo, niwaombe sasa Wizara ya Afya waangalie mwenendo huu tunaokwenda nao, lakini watathmini hali...
  8. GENTAMYCINE

    Kwa Viongozi kuvaa Barakoa kwa Kubagua maeneo ni Unafiki amueni moja mzivae muda Wote au msizivae tu kabisa sawa?

    Nachukia sana Unafiki na Upuuzi. Yaani Mtu huyo Saa 2 Asubuhi unaona Picha yake akiwa amejiachia kabisa bila Barakoa lakini ukija Kuiangalia tena Picha yake ya Saa 7 mchana unamkuta kavaa Barakoa tena inayotaka hata Kufunika Kichwa chake chote. Nawaulizeni nyie Viongozi Wanafiki hivi COVID-19...
  9. Lanlady

    Kuna siasa au uhalisia kwenye uvaaji wa Barakoa?

    Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua. Je, inamaanisha nini?
  10. M

    Msimamo wa Polepole: Sitavaa barakoa hata kama nyie wote mnavaa barakoa

    Polepole ni muumini mwenzangu wa kutokuvaa barakoa. Amenifurahisha kutunza msimamo wake mbele ya wenyeji wake wote waliovaa barakoa. Safi sana!!
  11. M

    #COVID19 Uongo kuwa ukweli: Corona yenye ukubwa wa 0.1micrometer, tumeaminishwa kitazuiwa kupita kwenye barakoa yenye kitundu cha 5-100 micrometer

    Watu husema kuwa uongo ukisemwa mara nyingi watu huanza kuamini huo uongo kama ukweli!! Hivyo ndivyo ilivyotokea wakati mawakala wa corona wakitaka kupiga pesa kupitia biashara ya barakoa walipouaminisha ulimwengu kuwa, kuvaa barakoa kutamlinda mvaaji na maambukizi ya corona! Cha ajabu hata...
  12. John Haramba

    #COVID19 Korea Kaskazini yathibitisha kifo cha kwanza cha Covid-19. Kim Jong Un avaa barakoa kwa mara ya kwanza

    Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), leo Ijumaa Mei 13, 2022 limethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid-19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa rasmi siku moja baada ya nchi hiyo kuthibitisha mlipuko wa kwanza wa Covid tangu janga hilo lianze. Watu 187,800 hivi sasa wanapatiwa...
  13. B

    Nashauri msafara wa Rais Samia nchini Marekani, uwe ndio msafara wake hapa nchini ili tupunguze magwanda na mitutu

    Nimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi. Lakini pia akipunguza silaha itafanya Dunia iamini Tanzania ni kisiwa Cha amani na watalii pamoja na wawekezaji...
  14. M

    Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

    Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja? Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
  15. figganigga

    Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

    Salaam Wakuu, Nadhani walinzi walitakiwa kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania siyo Zanzibar, kwani hii ni ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakiambatana na Mwinyi ndio wavae hizi barakoa au ni Utalii wa Uchumi wa Bluu? Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo...
  16. mwandende

    Walinzi wa getini ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam punguzeni njaa, msijifiche kwenye kichaka cha barakoa

    Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tangu kufunguliwa kwa shule za secondary na msingi inchini mwaka huu 2022,,, Ofisi za afisa elimu mikoa mbali mbali zimekuwa busy Sana ktk kuhudumia wanainchi wanaohitaji uhamisho wa shule kwa watoto wao. Baada ya wingi huo wa wananchi...
  17. Analogia Malenga

    #COVID19 Uingereza: Barakoa hazitakuwa lazima, kufanya kazi tokea nyumbani kufikia tamati

    Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza kuwa uvaaji wa barakoa na sheria nyingine za kujikinga dhidi ya COVID-19 zitatupiliwa mbali baada ya nchi hiyo kuwa na maambukizi madogo ya corona baada ya kupata chanjo ya nyongeza. Kuanzia Januari 26 hakutakuwa na ulazima wa kuvaa barakoa shuleni na maeneo...
  18. F

    Usalama wa Barakoa

    Wakuu, Nimekuwa nikijiuliza sana bila majibu kwamba ni kwanini viongozi (Top Brass) hawavai barakoa za hospitali (surgical masks) badala yake wanavaa ambazo haziwezi kutumika kwenye mazingira ambayo zile za hospitali zinatumika? Zile za kihospitali zina dawa ila hizi zingine zisizo za...
  19. I wish i have

    Luck Dube alitabili Corona (Barakoa)

    MZIKI ULINIAJILI... NI KAMA LUCK DUBE ALITABILI CORONA (ALIVAA BARAKOA KWENYE WIMBO WAKE WA THE WAY IT SI)... NA KUKATALIWA NA WAZUNGU. Je, Generation yake inatabili janga gani la Dunia?
  20. J

    #COVID19 Zingatia usafi wa barakoa wakati wa kujikunga na Covid-19

    Uvaaji wa barakoa ni miongoni mwa tahadhari muhimu inayosisitizwa katika kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona. Wataalamu wa Afya wanahimiza usafi wa mara kwa mara katika barakoa inayotumika kujikinga dhidi ya maambukizi ya Corona. Inaeleza kuwa barakoa huweza kuchafuka kutokana...
Back
Top Bottom