barakoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gordian Anduru

    Zinapatikana wapi Barakoa kama hii ya Edo Kumwembe

    barakoa ina kama kioo hivi hapa ni msafara huu wa mabingwa wa kihistoria kwenda Nigeria mwandishi huyu
  2. FRANCIS DA DON

    Serikali imesema vaeni barakoa, epukeni mikusanyiko, halafu hiki ndicho walichofanya Dodoma kwenye uzinduzi wa uhamasishaji Sensa.

    Mtu anakwambia vaa barakoa na uepuke mikusanyiko, halafu mtu huyo huyo anakuhamasisha uje kwenye mkusanyiko mkubwa wa kuhamasisha sensa. Je, kuna hitilafu kwenye wiring ya ubongo wake? Video ipo chini hapo 👇🏼 =================================...
  3. D

    Kama barakoa yenye mikanda wengi hatujui kuvaa ipasavyo; Ni wazi kabisa hata condom uvaaji wake ni changamoto

    Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa! Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni! Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa! Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha...
  4. Red Giant

    Mzaha: Kuingia hospitali unatakiwa kuvaa barakoa, ukifika unakuta watumishi wote hawana barakoa

    Getini unakutana na mlinzi anakwambia uvae barakoa. Sasa ukifika huko ndani unakuta wafanyakazi wote hawana barakoa. Au kuna utaalamu fulani?
  5. J

    #COVID19 Uvaaji Barakoa kwa watoto wenye matatizo ya ukuaji na akili na si wa lazima

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linashauri kuwa matumizi ya barakoa kwa watoto wa umri wowote walio na shida ya ukuaji wa akili au mwili, upumuaji na matatizo mengine maalum ya kiafya hayapaswi kuwa ya lazima na kwamba tahmini ya hali ya mtoto ni muhimu kuelezwa na mzazi, mlezi au mtoa huduma wa...
  6. J

    #COVID19 Usivae barakoa wakati wa kushiriki michezo inayotumia nguvu kubwa

    Haishauriwi kuvaa barakoa wakati wa kushiriki michezo au kufanya shughuli za mwili kama vile kukimbia, kuruka ili kutoathiri kupumua kwako. Kuvaa barakoa wakati wa kufanya mazoezi inaweza kuwa jambo hatari. Hii ni kwa sababu, unapofanya mazoezi, mapafu yako yanahitaji hewa zaidi na wakati...
  7. Erythrocyte

    #COVID19 Morogoro: Usipovaa barakoa Stendi ya mikoani ya Msamvu faini yake ni Shilingi elfu 50

    Kama wewe ni mgeni basi ni vema ukalihifadhi onyo hili lililotolewa na uongozi wa kituo hicho ---- Uongozi wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Msamvu mkoani Morogoro umeanza kutoza faini ya Sh50,000 kwa mtu atakayeingia au kutoka kituoni hapo bila kuvaa barakoa na kunawa mikono. Meneja...
  8. T

    #COVID19 Napata tabu kidogo na uvaaji wa barakoa!

    Kila ninapowaona viongozi wakuu na uvaaji barakoa uaniletea maswali kadhaa. Mara nyingi utawaona wamezingatia kuvaa barakoa mara tu wanapoonana lakini baada ya kuongea mawili matatu unakuta wamezivua barakoa na kuendelea kupiga soga. Hii inamaanisha nini? Hata hivyo ingawa mimi sio...
  9. Molleli

    #COVID19 Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

    Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
  10. Analogia Malenga

    #COVID19 Dar: Bila barakoa kwenye Usafiri wa Umma unashushwa

    Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imetangaza rasmi kuanza kuwashusha abiria wote ambao wataonekana ndani ya vyombo vya usafiri wa umma bila kuvaa barakoa ikiwa katika kupambana na maambukizi ya virusi vya Covid-19. Vyombo vilivyotajwa ni pamoja na daladala, mabasi ya mwendokasi, mabasi yaendayo...
  11. B

    #COVID19 Waziri wa Afya, kwanini mahabusu na wafungwa hawavai barakoa tahadhari ya Corona?

    Mahabusu na wafungwa Wana haki ya kuishi Kama binadamu wengine. Tumeona mahabusu wakifikishwa mahakamani bila barakoa, tumesikia mahabusu waliopo vituo vya polisi na Magereza wakidai hawaruhusiwi kuvaa barakao Wala kuchukua tahadhari ya corona, je waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa afya mna...
  12. B

    #COVID19 Kiwanda cha kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku? Hizi 'exaggerations' zitatuua

    Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana? Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu...
  13. mfianchi

    Wauumini wa kanisa la Efata kwa Mwingira hawavai barakoa

    Jioni ya leo nimeshuhudia maelfu ya waumini wa kanisa la Mwingira hapa Mwenge wakitoka kwenye misa bila ya hata mmoja kuvaa barakoa, yaani ni kama hawajui kama kuna UVIKO 19 , pia hata kwenye vyombo vya usafiri bado msongamno ni kama zamani kabla ya kutolwa amri na abiria sehemu kubwa hawavai...
  14. F

    #COVID19 Pamoja na kuvaa barakoa nahisi mtu anaweza kupata virus vya Corona kupitia vinywaji vya kwenye cafe au bar

    Wakuu habari za siku nyingi, Nimeshtukia hii kitu sana mtu kupata virusi vya corona kupitia vinywaji Kama soda au bia kupitia njia ya wahudumu. Umevaa barakoa vizuri kabisaaa, una nawa mikono n.k, Ukienda bar unavua barakoa una agiza bia ata ukiwa peke yako. Muhudum akija anakufungulia ile...
  15. Dong Jin

    #COVID19 Marekani: Waliochanjwa wahimizwa kuendelea kuvaa barakoa

    Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani. Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa. Maamuzi ya...
  16. MEXICANA

    #COVID19 CDC: Waliochoma chanjo ya Corona wavae barakoa katika mikusanyiko ya ndani

    Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani. Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa. Maamuzi ya...
  17. T

    #COVID19 Agizo la RC Makala kuhusu ujazo wa daladala na uvaaji barakoa limedharauliwa au halikueleweka?

    Leo nimeamka asubuhi nikitazamia daladala zote zinazofanya kazi hapa mkoani Dar es Salaam zitakuwa zinapakia level seat na abiria wote wakivaa barakoa, sawasawa na agizo la mkuu wetu wa mkoa. Ukweli ni kwamba hakuna kilichobadilika mtaani, tofauti sana na ilivyokua kwenye wimbi la mwaka jana...
  18. B

    #COVID19 Corona: Bila Barakoa Dar, Hupandi hata Daladala

    Taratibu tunasonga na uelekeo huu si mbaya. Bila barakoa tusionane kwenye usafiri wa umma yaani mabasi zikiwamo dala dala na ferry. Tusionane pia sokoni wala popote penye mikusanyiko. Hili si ombi bali rasmi ni lazima. ----- My take: Ugonjwa huu ni hatari. Hatua hizi ni muafaka pole pole...
  19. T

    #COVID19 Thobias Andegenye: Mechi ya Simba vs Yanga wote wavae barakoa, hata uwanja ukifurika

    Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili. Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti...
  20. Analogia Malenga

    Moshi: DC apiga marufuku watu kusafiri bila kuvaa barakoa

    Mkuu wa wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Said Mtanda Julai 19.2021 amezitaka mamlaka za usafirishaji kuzuia magari kuondoka stendi ikiwa abiria wake hawaja vaa barakoa kujikinga na virusi vya Corona. Nimekuja kuwaambia ukweli na Rais na Serikali yake wamesha sema Corona ipo tena wimbi la tatu...
Back
Top Bottom