Wakati mitaani tukijiishia raha mustarehe bila Barakoa vazi hilo limekuwa vazi rasmi la Ikulu.
Hapa ni mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan akipokea hati za utambulisho wa mabalozi wakiwa kwenye vazi rasmi la barakoa.
Ngoja niwaimbie wimbo.
Wanameremeta,wanameremeta, wanameremeta...
Kiukweli nawapongeza sana wazee wa Dar es salaam kwa kuzingatia masharti ya wizara ya afya kwa kuanza rasmi kuvaa barakoa na kutembea na vitakasa mikono.
Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
Israelis are no longer required to wear masks outdoors. The country is nearly fully open. #Coronavirus
===
With most of its population vaccinated against COVID-19, Israel on Sunday dropped the requirement to wear masks outdoors and fully reopened schools for the first time...
Jana Rais Samia alionekana nchini Uganda akiwa amevaa barakoa kwa mara ya kwanza wakenya wakaandika uhuni kama walivyozoea
Alivyorejea kutoka Uganda hakuna aliyetaka kujua kama mama alivyaa barakoa au la, lakini kiukweli mama amepokelewa akirejea nchini bila barakoa
What does this mean? Mama...
Mjumbe wa Kenyatta na Rais Samia - mbona ni mmoja tu mwenye Barakoa?
Suluhu hosts CS Amina for diplomatic talks, vows to restore ties with Kenya
- Kenya and Tanzania's diplomatic relations deteriorated during the late president John Pombe Magufuli's tenure
During his reign, Magufuli made it...
Barakoa Canada zakutikana na shida: zapigwa marufuku.
Nukuu:
"One model of mask distributed to Quebec schools and daycares may be dangerous for the lungs as they could contain a potentially toxic material, according to a directive sent out by the provincial government on Friday...
Watafiti nchini Mexico wanadai kuwa wamebuni mtindo mpya wa Barakoa (mask) ambao utamuwezesha mtumiaji kuweza kula, kunywa na hata kuzungumza huku akiwa bado amejilinda dhidi ya Virusi vya Corona.
Barakoa hiyo ambayo imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii na kuitwa ‘maski za pua’ zilionekana...
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea" kushuguhulikia janga hilo. Na katika kuhitimisha uchambuzi huo wa kurasa 23 nilibashiri kuwa janga hilo...
Dear fellow Tanzanians, I would like to present to you a recent paper published in a journal "Medical Hypothesis, Volume 146, January 2021, 110411" with regard to wearing facemasks for preventing supposedly COVID-19 disease. The author concluded that the wearing of facemasks is ineffective in...
Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Dr. Magufuli unaagwa, waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani.
Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania?
Niko naangalia EWTN Tv
Tofauti na msisitizo wa maaskofu katoliki wa Tanzania wanaosisitiza uvaaji barakoa na social distance
Papa ametinga Iraq kurdistani hajavaa barakoa na wanaompokea hawajavaa barakoa na yuko katika msongamano mkubwa wa watu
Kingine kilichonifurahisha kashuka kwenye...
Habarini za usiku huu wakulungwa, ni mwenyeji JF tangu 2016 lakini huu ndo uzi wangu wa kwanza.
Kama somo tajwa la hapo juu, naiona hatari kwa Barakoa zilizotumika na zinavyotupwa hovyo na kuzagaa mitaani. Kwa watoto hasa wanafunzi darasa la kwanza hadi la tatu wale wa day na wengineo wa rika...
Watu huangamia kwa kukosa maarifa, lakini watu huangamia kwa upumbavu wao au kiburi chao.
Sisi kama Taifa na dunia kiujumla tunalo la kujifunza kutoka Uchina na nchi za Asia, kulekule ambapo ugonjwa wa Korona ulianzia! Wao waliweka sheria ya lazima kuvaa mask ukitoka nje na hiyo sheria ilikuwa...
Watoto wenye umri wa miaka 5 kushuka chini hawatakiwi kuvaa barakoa
Hii ni kwa sababu ya usalama na uwezo wa mtoto kutumia barakoa ipasavyo bila msaada wa mtu mzima.
WHO na UNICEF wanashauri kwamba uamuzi wa kutumia barakoa kwa watoto wenye umri wa miaka 6-11 unapaswa kuzingatia mambo...
Ukiangalia watu wetu wengi hapa nyumbani barakoa wanayo moja kuna wakati anaivaa na wakati mwingine anaivua na kuiweka ama mfukoni au kwenye pochi.
Wale wanaotumia za " kujishonea wenyewe" ndio shida zaidi kwa sababu haifuliwi hadi week end.
Kwa utamaduni huu usitegemee watu hawa kuhoji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.