Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya .
======
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile, ametolea Ufafanuzi Clip...
Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa barakoa (mask).
Amesema haijalishi ila lazima watu wavae barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa barakoa”
Aidha, ameagiza kuwa...
Mkuu wa mkoa wa Mtwara amesema kuanzia jumatatu mwananchi yoyote atakayefika ofisi ya mkuu wa mkoa ( mkoani) ni lazima avae barakoa vinginevyo atazuiliwa getini.
Mkuu wa mkoa amechukua hatua hiyo kama jitihada zake za kuzuia maambukizi ya Covid 19.
Chanzo: ITV habari!
Uongozi wa Mahakama ya Tanzania umesema Wadau wote wa Mahakama pamoja na Wananchi kwa ujumla watakaofika Mahakamani kuanzia Jumatatu Aprili 20, 2020 watatakiwa kuvaa Barokoa
Hatu hii ni moja ya mikakati iliyowekwa na Mahakama katik kuzuia kuenea kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa wateja wake...
Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums
COVID-19-...
Ugonjwa wa Corona Virus au Covid-19 unazidi kuleta madhara na kusababisha vifo mbali mbali duniani na hapa nchini.
Bila shaka nchi yetu ndo miongoni mwao nchi chache barani Afrika ambazo zimechukua tahadhari kadhaa bila kufungia wananchi wake ndani (Lockdown) na kuacha wananchi waendelee...
Wauzaji wa vifaa vya kujinginga na gojwa hatari la covid 19, wamepandisha bei za barakoa (mask) zile zilizokuwa zinauzwa shiling 1000 /= zimepandishwa kwa sasa ni elfu tatu (3000/=), ukiwauliza wanasema na wao wapandishiwa kodi na serikali, kama ni kweli serikali mna nia gani na watanzani?
Inspekta jenerali wa Polisi, Hilary Mutyambai amewaagiza polisi kumkamata mtu yoyote atakayeonekana mitaani bila kuwa na barakoa. Kuvaa barakoa ni lazima ili kuzuia maambukizi ya #Covid19. Swala hilo limeshatangazwa na gazeti la serikali kupitia ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali Aprili 6...
Serikali imesema wataalamu wa afya, wanamalizia kufanya mchakato wa namna bora na sahihi ya jinsi ya kutengeneza barakoa, zinazofaa kuvaliwa kwa wananchi kama njia mojawapo ya kujikinga na virusi vya corona.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Faustine...
Kitendo cha mabeberu kuanza kuibiana mask inaonekana kuna upungufu mkubwa sana wa mask duniani kwa namna hiyo napenda kuwasilisha mawazo yangu kwa wizara ya afya kuangalia mask za namna hii na kutoa muongozo kwa matumizi ya kawaida ya mitaani na majumbani kama ikioneka zinaweza kufaa HASA KUZUIA...
Napendekeza katika hali ya dharura sana, serikali itangaze kuanzia jumamosi hii iwe ni marufuku kwa mtu yeyote kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa au scarf, na kama ana uwezo wa kununua barakoa basi avae barakoa.
Japo barakoa/ scarf haikukingi moja kwa moja na maambukizi...
Ushauri wa barakoa na mkanganyiko wake
Jana Marekani na Uingereza, ambazo ni nchi zenye nguvu kiuchumi na kuongoza katika ugunduzi na tafiti za kisayansi, zimetoa kauli zinazokinzana kuhusu uvaaji wa barakoa (masks) kama njia ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa mtu ambaye...
Ushauri wa Wataalamu wa Afya unaeleza kuwa sio kila aina ya Barakoa (Mask) inaweza kukulinda ili usipate maambukizi ya virusi vya Corona ila Barakoa pekee inayoweza kukulinda ni ya aina ya N95.
Wanasema virusi hivyo vinaingia mwilini kupitia macho, mdomo na pua hivyo njia pekee ya kukinga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.