Wamarekanni ndio wamepitisha hadi sheria ya kuvaa barakoa raisi Trump ndie aliisaini hiyo Excutive Order na amekuwa wa kwanza kuivunja hataki kuvaa barakoa hadharani akimuiga Raisi Magufuli.
======
Trump Tours Ford Plant Without Mask But Wears One Out of View
“I was given a choice,” he...
Hii ni hatua nzuri ya kufanywa na serikali maana sisi ni wadau wa kupaaza sauti juu ya mwenendo wa kusuasua wa mapambano dhidi ya ugonjwa huu wa COVID 19. Kuna sehemu nimepita kama nilivyoeleza kwenye heading na kushuhudia mashine hiyo ikifungwa tayari kwa kuanza uzalishaji wa barakoa.
Lakini...
Karibu
Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi.
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake.
=====
Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
Mkuu ameshatoa agizo watu wachape kazi, yeye mwenyewe havai barakoa.
Sasa kuna ofisi za umma zinanyima huduma wananchi kisa hawajavaa barakoa, hawa wafutwe kazi.
Jaji Mkuu na majaji wenzake na mahakimu wametengeneza genge la ulaji, wananunua TV kama wamechanganyikiwa, huu ni ufisadi mkubwa...
Askofu Benson Kagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza amesema, ibada zilizositishwa ili kujikinga na maambukizo ya ugonjwa unaotokana na virusi vya corona (COVID-19) zitarejea tarehe 31 Mei...
Serikali imeanza kutekeleza adhabu mpya ya kifungo cha hadi miaka 3 jela au faini ya takriban Tsh. Milioni 127, kwa watu watakaoshindwa kutii agizo la kuvaa Barakoa katika sehemu zenye mikusanyiko
Hatua hiyo, imeanza kufanyiwa kazi huku Misikiti, shule na migahawa ikifungwa ili kukabiliana na...
Hili Jambo limenishangaza kidogo.!
Dr. Kaleman leo akiwa Ofisi za TANESCO-GEITA alivaa Barakoa pamoja na wote waliokuwa nae lakini ameenda Kanisani kujumuika na Raisi akavua na kuonesha hali ni shwari na wale wote waliokuwa Kanisani leo hawakuwa na Wala hawakuvaa Barakoa, kuna kitu kilipangwa au?
Wakuu amani iwe kwenu,
Rais Magufuli mara nyingi amesisitiza watu kuvaa barakoa ili kujilinda na kulinda wenzao dhidi ya kuenea kwa ugonjwa hatari wa corona. Rais amesisitiza sana hili na nilitegemea viongozi wa chini akiwemo Mkuu wa Mkoa DSM, Wakuu wa wilaya zote, Kamanda wa kanda maluum ya...
Lockdown imeshindwa duniani kote, Mataifa yote yameshindwa kuendelea nayo kutokana na madhara yake. Imeshindwa kwakuwa ni against nature, Mungu alivyoumba na anavyotaka tuwe is against lockdown.
Uvaaji wa barakoa utashindwa, tena vibaya sana kutokana ni against nature na uumbaji. Hewa...
Uvaaji wa maski sasa ni lazima mjini Paris Ufaransa, huku ikiwataka wasafiri kuwa na vyeti kutoka kwa waajiri wao vinavyotoa sababu ya kwa nini wanasafiri
Watakaokiuka agizo hilo watakuwa katika hatari ya kulipa faini ya $145 sawa na takribani Tsh 335,000. Aidh katika uvaaji wa barakoa ni...
Kuna vitu vingine ukikaa na kutafakari kwa kina, utagindua kwamba akili zetu huwa zinapenda kuigana, na ni akili chache huwa zinakuwa proactive kufanya jambo jipya na akili zingine huishia kuiga tu.
Tunaambiwa hivi virusi vya Corona vinaambukiza kwa kupitia Pua, mdomo na macho,? hivyo siku moja...
Straight kwenye mada kutokana na mlipuko covid 19 wengi wetu ndio tumezifahamu "mask" barakoa..
Wengi tulikua tunaziona hospitalini kwa wale wanaofanya kazi theatre Mara nyingi wao ndio huzivaa (hapo awali) tofauti na hivi sasa zinavaliwa na watu wa nyanja mblmbl ili kujikinga na virus vya...
UTANGULIZI
Barakoa (mask) ni kikinga pua na mdomo na ni nyenzo muhimu inayoweza kutumika kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya vimelea vya maradhi kupitia njia ya hewa. Kuna aina mbalimbali za barakoa ambazo huandaliwa kwa madhumuni tofauti. Zipo aina kuu tatu (3) za barakoa ambazo zinaweza...
Nimekuwa nafuatilia kwa karibu namna Mawaziri wa afya barani Afrika wanavyotimiza majukumu yao katika kupambana na Corona.
Wengi wao wanatumia muda mwingi katika kuelezea hatua ya mapambano hayo yalipofikia na matarajio ya nchi zao mbele ya safari.
Lakini kidogo nimeona tofauti kwa approach ya...
Baraza la wawakilishi Zanzibar ambalo liko kwenye mkutano wao wa mwisho kabla halijavunjwa rasmi limeamua fedha zote zilizobaki kwenye akaunti zitumike kutengeneza Barakoa ambazo zitagawiwa bure kwa wananchi.
Fedha hizo atakabidhiwa makamu wa Rais balozi Seif ili azikabidhi kwa vikosi vya...
Je, wewe mwenzangu unajiuliza mwisho wa kuvaa barakoa ni lini ?
Mfumo wa upumuaji ni kuvuta Oksijeni na kutoa Carbon dioxide kwa kiwango sahihi .
kwa hakika nimechoka kuvaa barakoa, watu wanaonekana kama vinyago, barakoa inasababisha hewa ya Oksijeni unapata kiasi kidogo sana na unajikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.