Habari Wanajamvi,
Ndugu zangu naomba kuuliza hivi kuvaa barakoa kwenye ofisi za serikali ni lazima? Maana jana mke wangu alimpeleka mtoto clinic walikataaa kumhudumia mtoto kisa mama mtu hakuvaa barokoa
Sasa hawa watu Hawaendi kinyume na Mh. Rais maana Mh Rais ameshasema kuvaa barakoa isiwe...
Pamoja na kutangaziwa kupungua kwa maambukizi ya Corona. Hali ya kujikinga na kuchukua tahadhari haipo tena maeneo mengi Dar.
Mabasi ya daladala yamekuwa yakijaza abiria bika kuzingatia maagizo yaliyotolewa. Daladala za Mbezi, Buguruni na Gongolamboto na mengine nyakati za usiku na asubuhi...
Nimeona shule wakishona barakoa au kuwaagiza wazazi wazazi kushonea watoto wao barakoa zinazofanana na sare ya shule husika. Hivyo wanashona kitambaa Cha kaptura au Cha shati ya shule.
Shida Ni kwamba vitambaa vinavyotumika kwa sare vingi vyao sio pamba baoi Ni polyester. Je, kitambaa Cha...
Habari!
Kutokana na kushamiri ama kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini Brazil, Mahakama nchini humo imemuamuru Rais wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kuvaa barakoa ya kinga la sivyo 'kukiona cha mtema kuni'.
Jair Messias Bolsonaro.
Taarifa kamili:
Katika uamuzi uliotolewa...
Kwa mujibu wa mkurugenzi wa maonyesho ni kwamba maandalizi yamefikia 80% na mambo yanakwenda vizuri.
Jambo muhimu ni kwamba tiketi zitauzwa online kupitia simu za mkononi ili kupunguza misongamano.
Kadhalika washiriki na wananchi kwa ujumla watatakiwa kuvaa barakoa na kunawa mikono wawapo...
Kiafya, haitakiwi kuvaa barakoa ‘mask’ wakati wa kufanya mazoezi kwa sababu zinapunguza uwezo wa kupumua vizuri. Katika kufanya mazoezi, katika hali ya kawaida huwa na ugumu wa kuhema hivyo kwa kuvaa barakoa ugumu unaongezeka.
Vilevile, jasho linaweza kulowesha barakoa haraka na kuifanya isifae...
Kutokana na leo 16.06.2020 Rais JPM akilivunja bunge, ametangaza shule zote zitafunguliwa 29.06.2020 zilizokuwa zimefungwa mnamo April 17 kutokana na ugonywa wa covid 19.
Hivyo wenye stock za barakoa na sanitizer ni wakati wa kuzimalizia hata kwa kurudisha mtaji! Maana zinakosa soko Kama ndoo...
Kufuatia ongezeko la maambukizi ya COVID-19, Rais Nana Akufo-Addo ametangaza kuwa kuanzia sasa kuvaa barakoa ni suala la lazima nchini humo na Polisi wameelekezwa kuhakikisha agizo hilo linatekelezwa
Alikuhutubia taifa, Rais Addo amesema idadi ya visa inaongezeka kutokana na watu kushindwa...
Nikiangalia watazamaji walioingia viwanjani kushuhudia mechi za ligi kuu baada ya michezo kuruhusiwa tena, sikuona matumisi sahihi ya barakoa kujilinda dhidi ya COVID-19.
Kuna ambao hawakuzivaa kabisa, kuna ambao waliacha pua wazi, na kuna waliozivua ili wanywe au wale vitu vinavyouzwa uwanjani...
Binafsi nashauri wizara iache kuendelea na matangazo ya kunawa mikono na kuvaa barakoa.
Kwani kufanya hivyo ni kupingana na maoni ya raisi sasa hivi wanaovaa barakoa ni wachache sana kiasi kwamba mnaonekana kama tofauti na wengine.
Ukitembea mitaani utashuhudia na hata bila kuambiwa unaona...
Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona.
Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake...
Ndugu wana JF, karibu ujipatie barakoa safi kabisa kwa bei chee. Tunauza Tsh 55,000 tu kwa Box lenye barakoa 50 ndani. Ndani ya Jiji la Dar utaletewa hadi ulipo, na mikoani tutakutumia kwa njia ya Bus (Gharama ya usafiri utalipia, mara nyingi kwa Box 1 haizidi 5,000).
Karibuni sana.
Mzigo upo...
Kabudi huyuhuyu jameni ambaye tarehe 21 may pale dodoma alimsifia JPM kwa kumpa ujasiri wa kutovaa barakoa leo kaonekana katinga barakoa na mbaya zaidi akipokea kitabu cha kumuhusu Nyerere kutoka kwa beberu wakati ilitakiwa iwe vice versa...dah kwa kweli hii awamu ni kituko.
Leo nimejaribu kupita katika kituo kimoja cha Afya na nilichokiona ni msisitizo mkubwa wa uvaaji wa Barakoa huku zikiuzwa mlangoni kiholela lakini shida yake kubwa ni mikanda yake ya masikio kuwa mifupi kiasi cha kupata masikio ya watu na kuyabinua kama ya punda.
Nimetafakari sana kuhusu hali halisi ninayoiona kitaani kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Social distance ya mita 1 au zaidi ni usanii. Ukiingia kwenye daladala au kwenye masoko yetu hii kitu hakipo kabisa.
Sasa kwanini tunazungumzia kitu ambacho practically kwa watu was chini hakiwezekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.