Kampuni ya Kilimanjaro Marathon inayoendesha Mbio maarufu za kila mwaka za “Kili Marathon” zinazofanyika Mkoani Kilimanjaro imetangaza kuwa kutakuwa na zoezi la ugawaji wa barakoa kabla na baada ya mbio kwa wakimbiaji wote wa mbio fupi na ndefu.
Vilevile wameeleza kuwa kutakuwa na kamati...
Vaa barakoa mara kwa mara unapokuwa na watu wengine au unapokuwa kwenye mkusanyiko wa watu
Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni
Epuka kusalimiana na watu kwa kushikana mikono, kukumbatiana na kubusu
Ni lazima kuzingatia usafi wa mazingira, kunawa mikono kwa maji na...
Salama wakuu,
Ukiwa unaendesha gari na tena uko mwenyewe kwenye gari yako umevaa barakoa na vioo umefunga hivi inakubalika hii?
Barabarani unatembea tu hakuna mtu kulia, kushoto mbele wala nyuma yaani unatembea Ila ile barabarani isiyo na watu hakuna msongamano wowote umevaa barakoa hii nayo...
Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa...
Kiukweli sina mengi isipokuwa kumpongeza mbunge wa viti maalumu jimbo la Kawe kupitia Chadema mh Halima James Mdee kwa kutinga ndani ya ukumbi wa bunge akiwa amevalia barakoa usoni kama tahadhari ya Covid 19.
Ni jambo jema.
Maendeleo hayana vyama!
Niko TRA Vingunguti hapa baadhi ya watu wamevaa barakoa. Nasubiri aje Manager awaamrishe wazivue
Kwa nini sijawahi kushuhudia matukio isolated kama haya? Labda naweza react kitofauti. Adrenaline rush if you know what I mean.
Askofu mkuu wa jimbo katoliki la Dar es Salaam amewasihi waumini kufuata taratibu za kisayansi kupambana na corona.
Askofu ameomba tusaidiane na Mungu kupambana na corona.
Askofu amesisitiza kuwa corona bado ipo na kuwasihi waumini waendelee kuvaa baracoa, kunawa mikono na maji tiririka pamoja...
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa.
Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
afya
barakoa
changamoto
chanjo
corona
covid
covid 19
covid-19
dunia
gani
kelele
maambukizi
magufuli
maisha
matibabu
rais
siasa
tanzania
ugonjwa
ukweli
upumuaji
uzalendo
viongozi
watanzania
wizara ya afya
Kiukweli Dar es Salaam kipindi hiki kuna joto na vumbi kali linalopulizwa na upepo wa hapa na pale.
Kwa kawaida vumbi hubeba vijidudu vya kila aina hasa ukizingatia wakazi wa Dar wana tabia ya kutema mate na kupenga kamasi hovyo hovyo tu.
Japokuwa ukivaa barakoa unaonekana " wakuja" lakini kwa...
Rais Lazarus Chakwera Alhamisi alirudi nchini kwakwe baada ya kukatisha ziara yake nchini Tanzania kutokana na kupata dharura. Muda mfupi baada ya kufika katika uwanja wa ndege wa (KIA) Rais huyo alitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kutokana na madai ya Wananchi wa Malawi kwamba alikuwa...
Ujumbe Kwa wadada wote mnapozozana. Naomba muwe mnavua barakoa. Sisi wapitanjia tunazubaa kuwaangalia ila hatusikii mnachosema. Tunang'ang'ana Sana
😂😂😂😂😂😂😂😂
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Bado sijaona mtanzania aliyefanya kitendo hiki lakini ninatoa tu tahadhari kwa ndugu zangu hawa wa Graphics Designing pamoja na wale wazee wa Photoshop.
Kucheza na nembo za taifa sio jambo nzuri kupitia sanaa ya picha. Barakoa zilivuma sana...
Wanakijiji ambao walikamatwa na Polisi kwa makosa ya kutokuvaa barakoa wamepewa adhabu ya kuchimba makaburi ya watu waliokufa kwa maambukizi ya CoronaVirus
Adhabu hiyo imelenga kuwafanya waone hatari ya ugonjwa huo na wajisikie huruma kuona wenzao wanakufa huku wao wakiwa hawachukui tahadhari...
Hivi ni kwa nini mnafanya mradi wa kitoto namna hiyo, mnawazuia raia kupita kwenye geti kama hawajavaa barakoa (hata staff ambao wanapewa na mwajiri wao nyie mnalazimisha wanunue wavae wakati wana elimu ya barakoa kuliko ninyi), na huko nje mmewaweka jamaa zenu ambao hata kutunza (kuhifadhi)...
Nimemsikia lissu akikosoa kuhusu njia zilizotumiwa na Serikali katika kukabiliana na Covid 19.
(Nina uhakika hajajielimisha kutoka kwa wataalamu waliokuwa frontline kupambana na Covid 19)
Nimemsikia akisema kuwa Serikali imekiuka maelekezo ya wataalamu wa kitanzania kwa kutolea mfano wa...
Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene
======
Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje?
Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
Bwana Duterte akihutubia taifa wiki iliyopita kabla ya kutoa matamshi yake tatanishi
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema kwa mara nyingine tena kuwa watu watumie petroli kuosha barakoa - na kusisitiza kwamba hafanyi mzaha.
Alisema maneno kama hayo wiki iliyopita lakini maafisa...
Rais Donald Trump amewataka wamarekani watumie barakoa. Awali, Rais Trump alikuwa havai barakoa kwa madai kuwa hazina msaada wowote, ila sasa amesema ataanza kuvaa
Nchi hiyo imerekodi vifo 1,000 vya COVID19 kwa siku ya Jumanne na kufanya kuwa na jumla ya vifo 144,953, nchi hiyo ina maambukizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.