Pana haja ya kumpongeza Mama Samia kwa spana zake hadi tukae sawa. Hakuna namna, maana wajinga ni wengi mno!
Eti nyoyo za watu zaonekana kuwa na maduku duku. Kwani tulitegemea dodo chini ya mnazi?
Kwamba nyuso za watu haziakisi furaha na baraza jipya? Kwamba baraza zima halikuvunjwa kuanza na...