baraza

  1. J

    Ni dhahiri Baraza kuu la CHADEMA halitaketi hivi karibuni kwa hofu ya Corona, Mbowe ana hesabu kali!

    Mwenyekiti wa Chadema kupitia twitter amesema " Tanzania Corona iko tele" na ameitaka serikali kuchukua tahadhari. Kwa maana nyingine Freeman Mbowe anatuambia CHADEMA inachukua tahadhari zote za kupambana na Corona ikiwemo social distancing. Na kwa maana hiyo vikao vya watu wengi kama Baraza...
  2. Miss Zomboko

    Muuguzi aliyempiga Mjamzito vibao akutwa na hatia na kuondolewa kwenye baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, limemwondoa kwenye orodha ya wauguzi na wakunga Tanzania, Valentine Kinyanga wa kituo cha afya Mazwi, Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, baada ya kumkuta na hatia ya kumpiga vibao Zulfa Said aliyefika kujifungua kituoni. Tukio hilo, lilitokea tarehe 5 Januari 2021...
  3. Z

    Siridhiki na utendaji wa Baraza la mitihani la Taifa, NECTA

    HAYA NI MAONI YANGU MIAKA MIWILI ILIYOPITA, LEO 29 JANUARI 2023 NDO YAMETEKELEZWA NA NECTA. NAOMBA LIKES ZENU KWA WALE AMBAO MULIONA VINGINE. _____________________________________________________ Nimeangalia matokeo ya kidato cha 4. Kwa ujumla wake wanafunzi wameshindwa hesabu. Je, Baarza...
  4. J

    Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

    Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne. Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara. Source: ITV...
  5. EINSTEIN112

    Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani?

    Naomba kujuzwa hili Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani? Wajumbe wa Baraza hili wanapatikanaje, kuchaguliwa au maveterani wa mapinduzi? Nani katibu wake? Vikao vyake hufanyika mara ngapi kwa mwaka? Agenda zao huwa zipi? Hivi vyeo viwili...
  6. Elisha Sarikiel

    Rais wa Zanzibar Dkt.H.Mwinyi kumwapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu MPYA wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi ni tarehe 02-01-2021

    Updates :- RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
Back
Top Bottom