DC TEMEKE AKUTANA NA BARAZA LA WAZEE
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa. Jokate Mwegelo amefanya kikao kifupi na Baraza la Wazee Wilayani hapo. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa halmashauri ya manispaa ya Temeke (DMDP) leo Julai,30,2021, majira ya saa nne asubuhi kufuatia ombi la Wazee...