Baridi (Persian: بريدي, also Romanized as Barīdī) is a village in Surak Rural District, Lirdaf District, Jask County, Hormozgan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 40, in 10 families.
Mrussi Kumbe alipita kwenye mshono kwa hesabu kali. Muda Si mrefu wanaingia baridini na hali ni mbaya sana katika kukabiliana na janga hilo.
Nadhani uwanja wa vita utakuwa kama setup ya mwisho ya Game of Thrones. Winter is coming!!
Soma:
Deputy Prime Minister Irina Vereshchuk has asked her...
Double-digit inflation hits another EU member
Economists label surging prices in Denmark a “true nightmare for Danish wallets”
Double-digit inflation hits another EU member
Annual inflation in Denmark reached 11.1% in September, the Danish news agency Ritzaus Bureau reported on Monday, citing...
Hali sio nzuri nchi za Ulaya na Marekani, mfumko wa bei ya mafuta, gesi na chakula umevuruga mipango ya serikali na raia ya wazungu. Hivi karibuni majira ya baridi yataikuta Ulaya ikiwa na uhaba wa gesi na umeme kupashia nyumba joto. Hii itawafanya wazungu wengi kuja kujisalimisha nchi za joto...
Ni ukweli usiopingika ,achilia mbali mahaba tuliyonayo ,maana kila binadamu ana chaguo lake ,pro NATO na pro Russia wote wana haki ya kuwa na mahaba ,kwa kadri ya ufahamu na mitazamo ya namna mbalimbali.
Ila sasa wakuu hii vita tuambiane ukweli tuu majira ya baridi ndiyo yatatoa matokeo halisi...
Maeneo mbalimbali Nchini yanatarajiwa kuwa na Hali ya Baridi, ikielezwa Mkoani Mbeya kiwango cha chini cha joto kinatarajiwa kufikia 10°C, Iringa 11°C, Arusha 14°C, Njombe 06°C na Dar 19°C
Utabiri wa TMA kwa saa 24 zijazo umetoa tahadhari ya vipindi vya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa...
Wadau naomba kuuliza hii imekaaje maana kuna nyumba moja naishi lakini kuta zake ni baridi sanaa pamoja na sakafu ya chini (tiles) baridi vilevile kiasi kwamba ktk hicho chumba lazima nivae soksi au kubazi.
Je, hii ni hitilafu ktk mfumo wa maji kupelekea kuta kulowa na kuwa baridi au imekaaje...
Niko Mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.
Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika. Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.
Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe?
Na Ulaya je wasemeje?
Tupeni sababu za kisayansi.
Baada ya moto kuteketeza maduka Matano na ghala za kuhifadhia bidhaa za maduka yaliyopo katikati ya Mji wa Njombe imebainika kuwa chanzo ni moto uliokuwa katika jiko la mkaa ambao ulitumika kwa ajili ya kupunguza baridi.
Inspekta Lotma Dauda ambaye ni Afisa Oparesheni la Zimamoto na Uokoaji...
Habari!
Kuna wakati Mimi napingana na sayansi ya mazingira. Mara nyingi hata kwenye mikutano ya kimataifa wanajadili global warming ambayo inasababishwa na shughuli za kibinadamu kama viwanda, kilimo, uvuvi n.k.
Lakini kuna misimu mingine ya baridi kwa maeneo mbalimbali duniani inapita kawaida...
Kutokana na baridi na kuonekana vitu kama barafu kwa siku za karibuni maeneo ya Njombe hali ambayo imesababisha watu wengi wawe na maswali tofauti kimefafanuliwa.
Mamlaka Hali ya Hewa Nchini (TMA) imefafanua kuwa kinachotokea maeneo ya Njombe kwa siku kadhaa ni kutokea kwa Sakitu, ambapo hiyo...
Kiongozi mmoja sijamkata jina na cheo huko Njombe ameongea (nimemuona kwenye taarifa ya habari ITV) akiwashauri wananchi kutumia baridi kama kivutio cha utalii wa ndani.
Baridi linaloendelea limetajwa kuathiri afya za watu na mazao. Nimonia kwa watu na ukungu kwa mazao ni kati ya magonjwa...
Hii baridi ya mwaka huu ni noma Sana, 👇
----
Ikiwa bado hali ya hewa ya baridi kuwa kali katika baadhi ya maeneo nchini ikiwemo Mkoa wa Njombe kupelekea shughuli za kiuchumu kuwa na ugumu katika utekelezwaji kutokana na wakazi wa maneno hayo kupunguza muda wa kufanya kazi kwa kutafuta vyanzo...
Kwema Wadau!
Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi.
Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na Moshi pekee ndio yenye baridi ya kufa mtu, Kama nawe ni mmoja wapo basi umekosea kabisa, yapo Maeneo...
Viwango vya chini vya Joto katika Mikoa ya Njombe na Mbeya vinatabiriwa kuwa 5°C, Iringa 11°C, Tabora 12°C, Arusha 14°C, Mwanza na Dodoma 16°C katika saa 24 zijazo kuanzia usiku wa leo Juni 21, 2022.
Aidha upepo mkali unatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi...
Nimeona wamesema Elimu High school itakuwa bure, ni vema na Haki, Lakini hii kuwasaidia watu elfu 70 ambazo wazazi wanaweza kujichanga na kuomba omba wakapata na kule ambapo wanadaiwa mamilioni ya Pesa na kukosa hata mikopo (Kwenye Vyuo) Hawapewi kweli kuna tija?
Kwa kila mzazi kutoa elfu...
Nimekuja jana ila leo hali inatisha sana. Yaani kuna baridi kiasi cha kwamba unatamani usitoke room katika hotel niliyofikia.
Wenyeji huwa mnakabiliana na hali hii kwa mbinu zipi wazee?
Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi
Hakika sasa chama kikongwe chama dola kimefanya mabadiliko na kurudisha safu, makada na itikadi iliyokuwa imefukiwa na mwenyekiti mwendazake (revered) hayati (late) John Pombe Joseph Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.