Viwango vya chini vya Joto katika Mikoa ya Njombe na Mbeya vinatabiriwa kuwa 5°C, Iringa 11°C, Tabora 12°C, Arusha 14°C, Mwanza na Dodoma 16°C katika saa 24 zijazo kuanzia usiku wa leo Juni 21, 2022.
Aidha upepo mkali unatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi...