Habari wanajanvi, Mimi ufanya shughuli zangu za umechinga japo ni msomi mwenye shahada ya ualimu.
Shughuli yangu unifanya kuzunguka huku na kule nikitafuta riziki ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijawahi kuona mamlaka ya maji Mwanza wakipeleka maji maeneo mapya ambapo wananchi wamejega kwa wingi...