Kampuni ya azam media natambua mchango wenu katika michezo, ila kuna watu wachache wana wahujumu ili kuwarudisha nyuma, kama ilivo tokea kwenye ngumi adi mkaa amua kujiondoa.
Basi ushauri wangu kwenu bora mjiondoe pia kwenye mpila mechi kama izi ndo mlitakiwa mpate views wengi ila kuna watu kwa...
Mh . Rais Samia, unaendelea vema,japo chato na mkoa wa Geita,tunalala tukilia usiku na mchana,Kila tukiona hotel imeota majani huko jirani na ziwa Victoria.
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya kuangazia masuala kadhaa yanayoathiri maendeleo ya Chato na wananchi...
Kwa heshima,
Kiongozi wa Jeshi la Polisi Tanzania,
Makao Makuu,
Dar es Salaam.
Mpendwa Kiongozi,
Natumai barua hii inakukuta salama. Ningependa kuchukua fursa hii kuungana na wenzangu katika kujadili suala la ulinzi na usalama nchini Tanzania. Kwanza kabisa, napenda kuwapongeza kwa...
Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.
Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba kutambua unao washauri wengi sana wenye vyeo na nafasi kubwa kuliko Mimi ila naomba unipe dakika...
Ndugu Othman Masoud Othman
Assalam aleikum.
Nakuandikia haya nikitambua kuwa wewe na chama chako mpo katika juncture muhimu ya kihistoria ya kuipatia nchi hii katiba mpya na reforms za msingi kwa manufaa ya Nchi nzima na Zanzibar kiujumla.
Ndugu Othman Masoud, bila shaka unatambua kuwa...
P.O.Box .....
Kwa ustaarabu nasema walokole mnatufedhehesha sisi WAKRISTO. Inakuwaje mtu unaanza kuropoka kwenye bus halafu unalazimisha watu wakupe pesa la si hivyo basi halitofika salama?
WALOKOLE ACHENI UTAPELI.... Nimefurusha tapeli mwenzenu mmoja, Ile ameanza tu kujifanya anaomba...
Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Amiri Jeshi Mkuu,
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa,
Mpendwa Kiongozi wetu,
Nakupa salamu za heshima na taadhima nikiwa na imani kubwa na uongozi wako imara. Kwa niaba ya Watanzania wote, napenda...
Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa
Mpendwa Binti,
Salamu za upendo kutoka kwa mtu anayejali ustawi wako wa kiakili, kihisia, na kijamii. Naandika barua hii si kwa kukufundisha, bali kwa kushirikiana nawe mawazo ambayo yanaweza kukuimarisha katika safari yako ya maisha.
Kwanza kabisa...
Wasalaam,
(Maalumu kwa kijana wa kiume kati ya umri wa miaka 20-30)
Kwako mpendwa kijana wa kiume.
Inaweza hii ikawa si mara ya kwanza kuona nyuzi za namna hii au zenye kufanana na hii kukuzungumzia wewe kijana wa kiume, hii ni kukukumbusha kuwa....Ni rahisi kuzaliwa na jinsia ya kiume ila...
Barua ya Wazi kwa Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Kuhusu Kutekwa Kwangu Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi
Ndugu Katibu Mkuu, Amani iwe nawe!
Ni imani yangu kuwa barua hii itakufikia ukiwa mwenye afya njema, ukiendelea na majukumu ya kulitumikia taifa letu ambalo leo...
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh.
Habari ya majukumu hapo ofisini kwako, bila shaka umzima wa afya na waendelea vyema na majukumu waliyokupatia waislamu katika kukitumikia kiti hicho. Pamoja na raddi na mivuguvugu mingi unayoipata toka kwa mahasimu wako wa kiitikadi lakini bado...
Waziri wa maji Aweso.
Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya uangalizi.
Mh. Aweso ni aghalabu sana kushindwa kutekeleza maneno yako lakini kwa masikitiko makubwa...
Barua ya wazi Kutoka Kwa Suleiman Said Bungara ( Bwege) Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kwenda kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan
baruabaruayawazi
jamhuri
jamhuri ya muungano
kutoka
kwenda
muungano
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suleiman
suluhu
tanzania
wazi
Habari mhe. Lissu,
Pole sana na majukumu, na hongera kwa kazi zako nyingi za kisiasa ikiwemo maandalizi ya uchaguzi wa mwenyekiti na jitihada za uchaguzi na jitihada kuelimisha umma juu ya haki zao mbalimbali.
Ninaandika haya ili kukushauri mambo mawili matatu, ambayo ukiyatafakari unaweza...
Kwa:
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
S.L.P 2483,
Dodoma.
YAH: OMBI LA KIBALI KWA WAHITIMU WA KOZI YA DIPLOMA IN PIPE WORKS OIL AND GAS ENGINEERING KUOMBA NAFASI ZA AJIRA ZA UFUNDI BOMBA
Ndugu Katibu Mkuu,
Kwa heshima na taadhima, mimi ni...
Wapendwa wanangu,
Kuna mwanangu kanitumia hii kitu ili tushee. Nawasilisha kama kilivyo bila kuficha.
Barua ya Wazi kwa Waziri, IGP, na Bosi wa TISS
Na Nkwazi Mhango aka Fyatu Mfyatuzi
Wapendwa,
Kwanza, nimshukuru mhe. Rahis kwa kuwapa muda mjitafakari na kufanya maamuzi kabla hajawafyatua...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
YAH: CHANGAMOTO ZA UENDESHAJI WA ZOEZI LA UCHAGUZI NCHINI NA HASARA INAYOPATIKANA KWA TAIFA
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuandika barua hii ya wazi kwako...
BARUA YA WAZI KWA DADA ANGU KIPENZI
Dada angu mwema, naipenda furaha yako nami sisiti kukuhusia katika yale niyafahamuyo mimi ambayo ni mambo mema kwenye maisha yako
1. DADA ANGU mwema mwanaume anayekupenda kwa dhati na anayekuwazia mema hawezi kukushawishi akulale kinyume cha maumbile. Hayupo...
MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili...
IGP WAMBURA, sisi wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tunaleta malalamiko yetu kwako yahusuyo vijana wa kihuni kufanya maskani za kuvuta bangi na unga kwenye mtaa wetu.
Vijana hawa Wala siyo wakazi wa nyumba hizi, hushinda maaneo haya kutwa nzima mbaya zaidi Kuna watoto wadogo wameanza kuwauzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.