NINASTAAJABISHWA sana na mwenendo wa kushtusha wa baadhi ya Mabalozi walioko Tanzania kwa kusigina kiwazi wazi maadili ya kazi zao.
Tanzania ni nchi yenye upendo mwingi. Watu wake ni wakarimu sana na wanawaamini wageni, ikiwa ni pamoja na Mabalozi wa Mataifa ya kigeni hapa nchini.
Mabalozi...
C&P From mwanaspoti
REJEA kichwa cha habari juu baba. Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba.
Moja ipo hapo Kariakoo nyingine huko kwa Mabeberu. Zinanipa majaribu makubwa baba.
Nashindwa kuelewa ni ibilisi gani...
Tutasema " FREEMAN AIKAEL MBOWE SIO GAIDI"
Kwako mhe. Freeman Aikael Mbowe.
Ninapokuwa katika umri wangu huu wa karibu robo karne hakuna siku imewai kupita sijasikia jina Freeman au Mbowe maishani mwangu aidha niwe ndani ya nchi au nje ya nchi, aidha niwe online au offline.
Tutasema " FREEMAN...
Mhe. Rais, nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanza nianze kukupongeza kwa nafasi uliyonayo ambayo ni nafasi kubwa kiutawala wa mwanadamu katika Taifa letu. Pili, nikupongeze kwa jitiada zako na kiu yako yakutaka kuiona Tanzania inasonga mbele.
Baada ya salamu naomba...
Ndugu Freeman!
Mara nyingi umesikika ukitaka sana siasa za uungwana, siasa za akupigaye shavu la kushoto basi mgeuzie la kulia. Hilo ni jambo zuri lakini hiyo falsafa yako inafanya kazi katika nchi za watawala ambao ni sober minded, siyo katika nchi ambayo watawala wameamua liwalo na liwe kwenye...
Kwako Freeman Mbowe,
Mwenyekiti wa CHADEMA
Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na matukio wakati wanasiasa huenda na mikakati.
Kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na...
Kamanda heshima yako,
Napenda kukufahamisha kuwa tumekutumia email ya malalamiko dhidi ya maofisa wako wanajihusisha na vitendo vya rushwa. Email hii tuliyokutumia tumetumia dgeneral@pccb.go.tz. Tumeona tukutumie ujumbe kupitia jf hapa kwani tunaamini wewe unapitia hapa lakini pia uenda hiyo...
Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu
Salam!
Mimi ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 40 ambaye nimesoma nchini Tanzania kuanzia shule ya Msingi, Sekondari na pia Chuo Kikuu. Elimu yangu kubwa nimeipata kwa watanzania ndani na nje ya Darasa.
Nashukuru katika kuitumikia nchi nimehusika kwa njia...
Ni muda mrefu sana huyu jamaa nimekuwa namfatilia huyu jamaa..Anaandika vitu vingi some are logical na mengine are not logical...Hapa simlaumu maana kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojisikia as long as havunji sheria za JF. Tatizo kubwa la huyu ndugu yetu ni kuamini kila anachokifahamu yeye...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwanza napenda kukupongeza kwa hotuba yako nzuri wakati wa ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza au kushona nguo cha jeshi la polisi.
Nilivutiwa na jinsi ulivyosema kuhusu matumizi ya PF-3 kwa wagonjwa wanaoumia au kupata ajali za barabarani na ni ukweli...
Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa.
========
Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.