Salaam Mheshimiwa.
Kwanza nikupongeze kwa juhudi binafsi unazoendelea kuzionyesha katika Wizara yako na Serikali kwa ujumla.Tunaelewa kusudi kubwa la Serikali kuimarisha huduma bora kwa wananchi wake hasa maendeleo ya jamii kiujumla.
Lengo kuu la barua ni kukujulisha juu ya mambo ya kipuuzi...
Barua ya wazi kwa:
Naibu Waziri,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
Tanzania.
Ndugu;
YAH: KUKOSA IMANI NA WASIMAMIZI WA MRADI WA HEET (HIGHER EDUCATION FOR ECONOMIC TRANSFORMATION PROJECT)
Tafadhali husisha kichwa cha barua hapo juu. Mimi ni mtumishi katika chuo kikuu kimoja hapa...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE.
KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO
Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ni kilio, majozi na damu kwa Wananchi wa Iyumbu – Dodoma juu ya uporwaji wa ardhi unaoendelea katika...
Barua ya Wazi
Assalaam Alaykum,
Sheikh Mkuu, Mufti wetu wa Tanzania, nimeguswa kukuandikia barua hii ya wazi ama kwa kuhoji na kutaka ufafanuzi, ama kwa kushangazwa na nilichokiona.
Kama nilivyoshangazwa, nimefuatilia kwa ndugu zetu wengi katika imani, ama kwa hakika, tukio ninalolileta kwako...
Nimesikitishwa baada ya kuona Barua yako Ya majibu uliyowaandikia Umoja wa WAHITIMU WA SHAHADA YA UTABIBU NA UPASUAJI,
Kwa barua yako yenye kumbukumbu No.MB.131/220/01/36
ilikuwa na kichwa cha Habari kisemacho "KUOMBA KUTAMBULIKA KAMA MADAKTARI KAMILI NA WIZARA YA AFYA" Ya tarehe 22 December...
Naomba nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai japo sisi sio kwamba ni wazuri sana zaidi ya waliotangalia mbele haki.
Nakuandikia Barua ya Wazi ndugu Balile na MERICA mtusaidie mambo yafuatayo.
1. Tunaomba mfuatilie kwa kini kiini cha Waziri Makamba na TANESCO kushindwa kueleza mradi wa...
HABARI WAKUU.
Heshima Nyingi sana kwenu.
WAKUBWA Shikamooni.
Mimi ni Mpenzi shabiki na Mdau wa mpira wa Miguu.
Katika kufuatilia kwangu mpira nikajikuta ninaipenda sana club ya Simba SIMBA SPORTS CLUB.
Lunyasi.
Niliipenda sana Simba kwa sababu nilimpenda sana style of play. KUPIGA pasi...
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!
Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kutupatia uhai na afya njema. Pili, namshukuru Mungu kwa kutupatia rasilimali lukuki ambazo kwa kutokufahamu kwetu nadhani tushatumia si zaidi ya asilimia 30%...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,
Natumaini u buheri wa afya.Kwanza nakupongeza sana Rais wangu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada unazozifanya katika kuwaletea wananchi maendeleo,kwa kutafuta pesa nje na ndani ya nchi yetu Hongera sanaa kwa hatua hii nchi yetu inaendelea kupiga hatua za...
Wananchi wa Dar es salaam tumechoka na migao ya maji
Ndugu Waziri na Ndugu Mkurugenzi wa DAWASA
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, maeneo ya Mlalakuwa.
Napenda nikutaarifu kuwa, sasa katika maeneo yetu na mengine ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na hali mbaya sana ya upatikanaji wa maji ya...
Ni barua inayozunguka mitandaoni. Hapa JF pia tuna thrd inayokosoa utaratibu wa kuwa na Samia sholarship.
Nionavyo, hii ni nyongeza ya kutorithishwa na maamuzi ya waziri/wizara.
Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange.
Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine.
Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara, kiuwekezaji na hata mchango wake katika Pato la Taifa,
Ni mkoa ambao ndio Tanzania yenyewe ambapo hata...
MBOWE UMEZEEKA SASA, ACHA KUTENGENEZA ZENGWE JIMBONI HAI, WANANCHI WALISHAAMUA KWENDA NA SAASHISHA MAFUWE
Na Rogan Swai, Narumu Blog
Habari za Siku nyingi Mwenyekiti wa kudumu wa Chama chetu Cha Ufipa, natambua unaendelea na matibabu Kwasasa baada ya afya yako kuzorota Kwa muda Fulani, pole...
Mh. Waziri TAMISEMI inakero zaidi ya asilimia 70.
Kwa kifupi sana na kwa maneno machache sana, Idara/vitengo huku chini kuna matatizo ya uonevu, unyanyasaji, kudharauliana, kuminyana, kuzibana midomo, kutiana presha watumishi idara za Elimu, zaidi sekondari. Kwa maagizo ya kurugenzi za wizara...
Mhe. Waziri wa Maji Salaam. Hapa Mwanza Mamlaka yetu ya maji inaitwa Mwauwasa. Katika jiji la Mwanza maeneo mengi yanakosa maji licha ya kuwa hatua chache tu toka Ziwa Victoria (a stone throw away) kwa lugha ya kimombo.
Mfano hai ni eneo la Mwananchi leo ni siku ya tano hatuna maji na hata...
Ameandika Rais Samia Suluhu Hassan:
Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati Taifa linapoanza njia mpya. Jambo hili si jepesi, kwa sababu...
Mtakwimu Mkuu wa Serikali,
Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
S. L. P. 2683,
DODOMA.
Ndugu,
YAH: UTAPELI KATIKA MFUMO WENU WA TEHAMA WA KUOMBA AJIRA ZA MUDA ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI
Napenda kufikisha malalamiko ambayo pia nitafungua kesi Mahakamani kuishitaki NBS kwa kutozingatia vigezo vya Human...
Salaam. Pole na majukumu ya Kila siku. Niende moja kwa moja kwenye ujumbe wangu: Bernard Morrison jifunze katika maisha KUOMBA MSAMAHA!
Kuomba MSAMAHA si unyonge!! Bali ni utu!! Una kipaji kikubwa sana Cha soka lakini katika maisha umekuwa? ukiwakatisha tamaa wale ambao wangeweza kulea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.