Kwako Mwalimu.
Mwalimu, nakumbuka siku ya kwanza tulikutana shuleni kwako. Nikiwa kama mzazi niliyeingiwa na usasa na kuachana na mila za kale za kumfungia mwanangu wa kike ndani, nikaona nikukabidhi wewe mwalimu.
Nilifanya hivyo nikitegemea kuwa mwanangu angepata malezi bora katika mikono...
Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe
1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani
2. Kwa...
Wasalaam
Klabu yangu kubwa nawashauri tena. Niliwambia ukweli mechi ya Red Arrows ndicho kilichotokea.
1. Katika vilabu vikubwa Afrika mmo top ten lakini utani uwanjani na kuchangamka mwishoni mwa mechi itaendelea kuwacost.
2. Upangaji Wa kikosi ndio mnapoteaga balaa. Yaani wewe ni klabu kubwa...
kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama,
Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT,
dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
Mheshimiwa Zitto:
Siku hizi Nchi inakopa na sehemu kubwa ya mikopo(Kiuwiano) inakwenda Zanzibar.
Nchi ya watu chini ya milioni mbili inapewa zaidi ya 25% ya mikopo ambayo Jamhuri ya muungano wa Tanzania inakopa.
Na tunajua sehemu kubwa ya hilo deni itakuja kulipwa na Watanganyika kwa sababu...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AMBAYE NI RAIS WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA MANTIKI YA MGOGORO WA KIKATIBA SKAUTI
Salaam kwako Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, rais wa chama cha Skauti Tanzania.
Napenda kuchukua nafasi hii kuelezea yangu machache...
Salam kutoka wilaya Ngorongoro.
Mhe.Rais wananchi wa Ngorongoro kama walivyo Watanzania wengi walikuwa na imani na wewe lakini imani inapungua siku baada ya siku.
Mhe.rais kwa 2020 jimbo la Ngorongoro kwa nafasi ya rais mlizoa kura zaidi ya 87% na tangu uhuru wa nchi hii hili jimbo halikuwahi...
BARUA YA WAZI KWA MHE SPIKA NDUGAI.
Na Elius Ndabila
0768239284
Mhe Spika Ndugai Shikamoo! Ni matumaini yangu Mungu anaendelea kukupigania katika hali yako kiafya. Jana wakati unazungumza na vyombo vya habari ulisema unachangamoto ya kiafya.Ninakuombea kwa Mungu upate tahafifu.
Mhe Spika...
Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT
Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini.
Mheshimiwa, Zitto
Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa...
Ndugu Nape salaam,
Kati ya jambo lililonishangaza na kunifikirisha Sana ni kile ulichochapisha Ndugu Nape Nnauye ambaye ulipuuzia kuwa wewe ni mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na muwakilishi wa wananchi wa Jimbo lako la Mtama.
Katika kumjibu Ndugu Humphrey Polepole ambaye...
USIOLEWE NA MWANAUME MPUMBAVU NA MWOGA!
Kwa Mkono wa RObert Heriel.
Leo nitakaanga wapumbavu wote na waoga bila kupepesa. Iwe ni Mimi mwenyewe, wewe au Yule. Andiko hili halitamkwepa mwanaume yeyote Mpumbavu na mwoga bila kujali nafasi yake, hadhi yake, na umri wake.
Aidha andiko hili...
Wasalaam,
Jana nimetoka Lusaka nipo iringa now. Haya ndio niliyoyasikia kwa masikio yangu. Mnajua wazambia wanapenda sana mpira.
Wanasema hivi;
1. Ukitaka kuifunga simba cheza cross nyingi sana utapata magoli. Mabeki wake hawajui KBS kucheza cross hasa baada ya kukimbizwa na mawinga. Red arrows...
Ndugu Gharib, Mzee Bakhresa na Mo Dewji
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi
Nichukue fursa hii kukupongezeni kwa jitihada zenu za kuinua michezo, hakika uwekezaji wenu utasaidia kuinua michezo nchini, kutoa ajira kwa vijana wetu wanaoshiriki ligi n. k
Lakini pamoja na hayo, naomba niongee na...
Mzee Jakaya!
Shikamoo mzee, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Naomba nikupe taarifa tu kuwa jela kuna Masheikh zaidi ya 150 , na wengi wao waliwekwa ndani kipindi cha utawala wako. Hivi mzee ulikuwa unafikiria nini kwa mambo haya?
Ninafahamu kuwa wewe personally siyo mtu...
Kwako Mheshimiwa waziri wa kilimo,
Natumai ni mzima wa afya njema.
Mheshimiwa waziri wa Kilimo,
Rejea kichwa cha barua hii ya wazi kama kilivyo jieleza.
Naomba kurejea tena.
Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, Ammonium Nitrate (NA), Ammonium Sulphate (SA), Ammonium...
YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA
Mh. Waziri Mkuu,
Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria maalum kama Hiace yanayofanya safari kuanzia Sumbawanga kwenda wilaya za Mkoa wa Rukwa ambayo ni...
Ninayo heshima kubwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya kukuandikia barua hii fupi.
Kwanza kabisa hongera sana kwa kazi nzuri ya kuijenga taifa.
Lengo la barua hii ni kuhusu marufuku uliyoitoa dhidi ya bajaji zinazobeba abiria kutoka kituo cha Mbezi Luisi zikiwapeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.