Napenda kuandika ujumbe uu wa wazi kwa wanchezaji watakao ingia uwanjani leo dhidi ya DRC congo,
Ni ukweli usiopingika kama kongo hatuwawezi sio kwa mchezaji mmoja mmoja au kwa team play. Ila naandika ujumbe ukaguse mioyo na wakavae damu ya kizalendo zidi ya taifa leo.
Kwenye mpila kuna muda...
WARAKA WA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA KUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN.
Mheshimiwa Rais Awali ya yote ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mheshimiwa Rais kupitia kipande hiki cha maandishi napenda kuongea na wewe mambo machache yanayolikumba taifa...
Nakusalimu mheshimiwa Raisi.
Kwa unyenyekevu mkubwa sana naandika haya kama mwananchi wa kawaida ambaye anapenda kuona wewe unafanikiwa. Huu ni ushauri, hivyo unaweza ukautendea kazi au ukaupuuza vilevile.
Majuzi tarehe 18 September 2024, ulitoa hotuba nzito sana ambayo imezua gumzo siyo tu...
Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya utekaji, nilifanya kikao na wakili wangu. Wakili ameshauri niandike barua na kuweka public. Nimeshaandika barua na nimewapa ndugu wote ni zamu yenu kusoma barua hii.
Mdude Nyagali...
Ndugu Masheikh
Nimewajibika kuandika barua hii kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa ACHENI KUTETEA dhulma dhidi ya watanzania wenzenu ktk madhila yanayowakumba.
NIANZE NA SULE
Wakati wa sakata la Ngorongoro, Mwanamihadhara ndugu Sule aliandaa clip ambayo ilisambazwa katika makundi ya kijamii...
Barua kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Septemba 4, 2024
Mheshimiwa Dr. Samia Suluhu Hassan,
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dodoma,
Tanzania.
Yah: Pendekezo la Kuunda Timu ya Wataalamu kwa Ajili ya Utafiti na Uchunguzi wa Kuboresha Mifumo ya Maendeleo ya Taifa...
Kwanza, tafadhali isome barua hii kwa niaba ya watanzania wote wanaotumaini katika ukuaji wa sekta ya posta nchini.
Tarehe: 2Sept2024
Kwa:
Bw. Macrice Daniel Mbodo
Postamasta Mkuu, Shirika la Posta Tanzania (TPC)
Mada: Pongezi na Ushauri kwa Nafasi ya Ukuu wa Posta Tanzania
Ndugu Bw. Mbodo...
YAH: MADAI MBALIMBALI YAKIWEMO POSHO YA KUJIKIMU WATUMISHI AJIRA MPYA, MALIPO YA LIKIZO NA MALIPO YA SAFARI ZA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA
Mhe Waziri wa TAMISEMI, kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa sana juu ya stahiki mbalimbali za watumishi katika Halmashauri ya Ngara...
YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Mhe. Waziri wa Afya,
Katibu Mkuu wa Afya,
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,
Sisi, wadau wa sekta ya afya nchini Tanzania, tunakuandikia barua hii kwa nia ya kuwasilisha...
Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, napenda kuchukua fursa hii kukuandikia barua hii ya wazi. Kwanza kabisa, naomba nikupongeze kwa uongozi wako wa hekima na maono, ambao umeendelea kuleta...
Ndugu Tundu,
Nakuandikia barua hii ya wazi, kwa afya na mustakabali wa taifa letu na hali ya kisiasa ilivyo sasa nakusihi uachane na wazo lako la kugombea urais tena mwaka ujao!
Na badala yake nenda bungeni ukatusaidie kuliamsha bunge letu ambalo linaonekana limekufa na ndio chanzo cha miswada...
Leo tarehe 11, July 2024. Umealikwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya kupambana na rushwa Afrika.
Hongera Dr. Hussein Mwinyi, kwa nia yako thabiti ya kuzuia na kupambana na rushwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla, licha ya wasaidizi wako wachache wanaokuangusha.
lengo la barua hii...
BARUA YA WANABIHARAMULO KWA BALOZI NCHIMBI KATIBU MKUU WA CCM TAIFA
UTANGULIZI
Mh balozi tumesikia kuwa unakuja kufanya ziara hapa Biharamulo tunakukaribisha wilayani kwetu Biharamulo ,kuja kwako ni neema ya kutatua matatizo makubwa ya kiungozi/kiutawala ya chama chetu hapa wilayani...
Salaam Mama Rais Samia.
Wakati yalipoanza matukio ya utekaji kipindi cha Serikali ya awamu ya 5; yalikuwa ni matukio mageni. Walakini kama vile hayataki yakawa mazoea kabla ya kuota mizizi.
Pengine isingekuwa hofu sana kama ungekuwa ni utekaji tu, ila watekaji wenyewe kuwa WATU WASIOJULIKANA...
Mh.Waziri Mkuu awali ya yote nakupa pongezi na shukrani Kwa kulipambania taifa letu kwenye pilika za kuleta maendeleo. Mungu azidi kukupa nguvu na uwezo wa kuendelea kulipambania taifa letu Ili lisonge mbele.
Mh. Waziri mkuu nakuja kwako naleta Malalamiko yangu Kwa niaba ya wenzangu tuliokuwa...
Mkurugenzi Mkuu
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)
S.L.P 1253 Dodoma / 77150 Dar Es Salaam.
Barua pepe: info@tmda.go.tz
Tovuti: www.tmda.go.tz
Yah: PENDEKEZO LA UTARATIBU WA KUSHUGHULIKA NA DAWA ZISIZOFAA KWA MATUMIZI NCHINI
Baadhi ya tafsiri:
Dawa zisizofaa kwa matumizi: Ni zile bidhaa...
Kwanza kabisa nianze kwa salam na kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai pamoja na changamoto tunazo zipitia wananchi wa Tanzania.
Lakini pia naomba kukupongeza sana Mh. Mtatiro kwa kuteuliwa tena na Mh. Rais kua mkuu wa wilaya ya Shinyanga. Najua na kuamini utendaji kazi wako ndiyo msingi wa...
Kwako Mkuu Dr,
Binafsi Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23, mwanafunzi mwaka wa tatu moja ya a chuo kikuu hapa jijini (DSM), binafsi Dr, naona wewe ni mtu humble, passionate na mwenye utu sana.
Dr Haya Land, mm binafsi naona na mengi sana ya kujifunza Toka kwako hasa inje ya...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
Mhe.@ Dk Dorothy Gwajima
Na...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari
Mhe. Nape Moses Nnauye.
Wasalaam,
Poleni kwa kazi.
Ninakuandikieni barua hii ili kuwajulisha na suala linaloleta wasiwasi mkubwa ambalo...
Barua ya wazi Kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na afisa elimu.
Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Msumi.
Ndugu wakuu wetu tunahitaji Sana msaada wetu kuhusu upotevu wa pesa zetu ambazo tulichangishwa na Kamati ya makande inayosimamiwa na Kamati kuu ya shule chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.