bashe

Bashe (Chinese: 巴蛇; pinyin: bāshé; Wade–Giles: pa-she) was a python-like Chinese mythological giant snake that ate elephants.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Ushauri: Waziri Bashe awekwe pembeni ili amalizane na kesi zinazomkabili mahakamani

    Salaam, shalom!! Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri, Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali...
  2. S

    Tetesi: Kesi ya Sukari Mahakama Kuu yamzuia Bashe kwenda China ziara ya Rais

    KUNA tetesi kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameshindwa kushiriki ziara ya Rais Samia nchini China kutokana na kukabiliwa na Kesi ya Rushwa na Uhujumu uchumi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kuhusu kashfa ya utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi...
  3. Mawakili wanaowakilisha chadema katika kesi nyingi, wanamuwakilisha Mpina katika kesi dhidi ya wana CCM wenzake-ambao ni Bashe na Tulia

    Naona chadema imejitolea kikosi cha mawakili wanaowawakilisha makada wake katika kesi nyingi, ili sasa wamuwakilishe Luhqga Mpina katika kesi zinazohusu mambo ya sukari, pia kesi inayohusu Mpina kufukuzwa Bungeni. Haijafahamika kwa nini Mpina amechagua mawakili wenye mlengo na itikadi za...
  4. S

    Bashe hadi sasa bado ni Waziri wa Kilimo? maajabu ya dunia

    Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga sheria ya kuua viwanda vyao, tumemsikia Mheshimiwa Rais akilalamikia suala la uagizaji sukari nje...
  5. S

    Pre GE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

    Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi. Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia. Rais Samia hatoboi 2025. Pia Soma - Breaking News: -...
  6. R

    Wakulima wa miwa Kilombero wampongeza Bashe sheria mpya ya sukari

    Wakulima wa miwa katika Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wamempongeza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa uamuzi wake wa kubadilisha sheria ya sukari mwaka 2024 kwamba itawaletea manufaa makubwa na wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu kilimo cha miwa na...
  7. Pre GE2025 Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni kinyume na Sheria

    Mawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu. https://www.youtube.com/watch?v=a5iWi_n2I8M Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa ni ile anayomshtaki Spika wa Bunge na Mwanasheria mkuu wa Serikali kwa kunyang'anywa na kunyimwa haki...
  8. S

    Bashe iga mfano wa Mwigulu. Jitokeze ujibu kashfa ya sukari

    WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amejitokeza hadharani kwenye mitandao mbalimbali ya Kijamii kujibu tuhuma za kwamba Serikali imefilisika kama walivyodai baadhi ya watu na akatoa ufafanuzi wa kina wa kila hoja. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe unakabiliwa na tuhuma mbalimbali kwenye utoaji...
  9. Makonda aliraruliwa kwa kusema atataja mawaziri wanaomsema vibaya Rais. Mpina aliraruliwa kwa kusema waziri kavunja sheria ya sukari. Huyu atapona?

    1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo yalikikasirisha sana chama cha mapinduzi. Akaitwa kwenye kamati ya maadili na kuraruliwa. 2. Mh...
  10. S

    Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN amezungumzia utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kusisitiza kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye Kilimo mpe jukumu hilo Msomali. Pia soma:Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania
  11. Mpina, Bashe, Kamati ya Maadili, Spika, Wazalishaji na Bodi ya sukari nani kweli?

    MJADALA wa Kashfa ya Sukari umezungumza sana ndani ya Bunge na nje ya Bunge hadi kusababisha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kufukuzwa bungeni baada ya kumtuhumu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kusema uongo kuhusu utoaji wa vibali vya waagizaji sukari nje ya nchi. Jana Profesa Bengesi wa Bodi ya...
  12. S

    Tumewasikia Bashe, Mpina, Tulia na wazalishaji sukari. Tumeelewa nini?

    Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari. Kama taifa tumeelewa nini Mpina...
  13. Skendo ya Bashe na sukari ni kubwa kuliko, isiache ipite bila uwajibikaji.

    Ukiyasikiliza maelezo ya Bashe katika tuhuma za maamuzi na kutolewa vibali vya biashara ya kuingiza sukari yana walakini mwingi na kuacha maswali zaidi 1. Ni kweli Bashe anayo mamlaka ya kujifanyia maamuzi tu kwamba nchi ina dharura ya upungufu wa sukari yanayompa mamlaka ya kutofuata taratibu...
  14. Kama anayoyasema Mpina kuhusu Bashe na Sukari ni kweli ,Basi kuna Haja ya CHADEMA kumuunga mkono

    Binafsi mbali na mapungufu ya kiuongozi yaliyopo katika chama changu CHADEMA bado naamini ni chama cha Ukombozi . Hivyo kama Mpina yuko sahihi basi huu ndio muda muafaka wa kuonesha namna CDM tunavyouchukia ufisadi . Vinginevyo tupate kauli ya chama kuhusu suala hili . Soma pia ...
  15. Ni Nani anayumbisha Serikali, Nani alitoa go ya kumtukana mama, Nani anayetaka Bashe aanguke, Nani anataka biashara K koo isimame?Nani?

    Wakuu salaam! Naweza kupingana na mama sehemu nyingi ila kuna mambo ya kimaslahi kitaifa siwezi kupinga. Mama ana mapungufu yake ila??? Ila?? Nani anayetaka wafanyabiashara Kariakoo wagome na kwanini? Ni Nani huyo anayetaka kunyonga koo la uchumi wa nchi na kwanini? Wasukuma bwana! Hawajawahi...
  16. Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

    Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit. Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
  17. Tujikumbushe kuhusu katuni ya masudi kipanya na bashe

    Masoud kipanya ni moja ya watu wenye jicho la tatu wanaotumia katuni kujenga ujumbe na kuona mbele kuhusu hii nchi. Mimi ni mpezi wa katuni za masoud kipanya na kila ukizirudia unaona zimebeba ujumbe unaofika mpaka leo. Kuna kipindi fulani masoud alitoa kumuhusu huyu bashe na kumbuka kipindi...
  18. Upatikanaji wa Sukari na utulivu wa Bei ya sukari umeimarika sana Chini ya Bashe!

    Wakuu wote salaam! Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari! Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja! Kwanza kabisa Bashe ni moja ya mawaziri vijana ambaye utendaji wake unapaswa kutufariji vijana na kutupa motisha kuwa tunaweza kugeuza...
  19. S

    Tetesi: Kamati ya Bunge yagawanyika suala la Mpina na Bashe

    KUINA Tetesi zinazoendelea kuwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili waliopewa jukumu la kumshughulikia Mpina wameanza kugawanyika wengine wakidai Mpina hana kosa lolote na hajavunja Sheria wengine wanadai kwa kuwa Spika ndiyo amewapa hiyo kazi ni lazima waimalize. Pia kuna tetesi kuwa baadhi ya...
  20. TK Movement mko wapi kumtetea Bashe?

    KUNDI la Viana la TK Movement linalofadhiliwa na kulipwa mshahara na Mheshimiwa Huseni Bashe kwa ajili ya kujipanga na mambo ya 2025 (kumzunguka Samia) mbona mko kimya kumsaidia kujibu tuhuma zinazomkabili za kashfa ya kutoa vibali vya sukari kwa kampuni za steshenari na kuuza simu za itel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…