Kufuatia Sekeseke la udini baada ya Waziri wa kilimo Hussein Bashe kusema Kufikia Ramadhani sukari itakuwepo, Mwanasheria na mwanaharakati Fatma Karume amemshauri Bashe kutotatua uhaba wa sukari nchini.
Kauli hiyo ameitoa kwenye ukurasa wake wa "X",
"Ushauri wangu kwa Bashe: “Kifo cha wengi...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari (Wahariri na Waandishi wa Habari), Ikulu ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Februari 22, 2024
https://www.youtube.com/watch?v=YM-aG-w-Je0
Endelea kufuatilia kitakachoendelea...
Zuhura Yunus:
Rais Samia...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake.
Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
Wakati tunasikitika kumpoteza, Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, si vibaya tukakumbushana kidogo.
Ikumbukwe, baada ya kukatwa kwa jina la Edward katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mgombea wa CCM mwaka 2015. Mzee Lowassa alitimkia upinzani CHADEMA, ambako alipata nafasi ya kugombea Urais...
Huyu ndio Hussein bashe ,akilitaka lake lazima liwe! Na asipolitaka lako halitakuwa ,huyu ndio bashe! Anapenda kutunisha misuli hata mahali pasipohitaji misuli ,kiongozi asiyetaka kuhojiwa na yeyote isipokuwa rais na makamu wa rais .
kwa maana hiyo hata waliompigia kura hawana ubavu wa kumhoji...
Habari wanaJF.
Hii makala ni kwa waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe.
UWAMIGO SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED yenye namba ya usajili PRI-MRG-KLS-DC-2023-5249, inapatikana kijiji cha Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro.
SACCOS hii ina wanachama zaidi ya mia nne(400) ambao kwa...
Nakupa dokezo.
Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe.
Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na magomvi yanayoendelea kule kwao. January walijaribu kumtafuta kwenye vikao vya kamati, ikashindikana...
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu.
Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali.
Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi na Waziri Bashe sina hakika sana kama ni issue serious sana maana nacho ona ni maigizo na ulaghai...
Sikiliza Dakika 6 za Paul Makonda akiongea na Bashe kuhusu sukari kwenye video hapa Chini:
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa bei ya sukari itatengemaa ndani ya mwezi ujao akiwataka kutokuwa na hofu
Waziri Bashe ameeleza hayo leo Januari 23...
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amejibu baadhi ya hoja zilizoibuliwa kuhusu kupanda bei kwa sukari huku akiwatahadharisha Wafanyabishara wanaotumia Wanasiasa kuishikilia bango ajenda ya kupanda kwa bei ya sukari kwamba ajenda hiyo haitofanikiwa kwasababu tayari kuna bei elekezi inayotakiwa...
Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo
Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari.
Akizungumza Waziri wa Kilimo...
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada
Bashe kupitia wizara yako ulituhaidi wakulima tunaolima kupitia vyama vya msingi kunufaika na mboleo ya ruzuku
Kweli mwaka huu tumepokea mbolea zilizo na vifungashio vyenye nembo ya ruzuku, tukakubali kwamba ahadi ya kumuinua mkulima kunufaika na ruzuku...
Ukikaa kwenye gambe lazima uwe na akili nyingi kama siyo maarifa. Walevi sometimes hatuna siri na tukipayuka tunaaminigi watu wote wameziba masikio.
Nimesikia mjadala kwamba serikali imechelewesha kulipa vyama vya ushirika fedha zao. Wanachama wamekuwa wakali kwa kukosa fedha za sikukuu...
Kigwangala anaomba Rais aipe Nzega hadhi ya mkoa baadaye anakuja Bashe anasema mama tunaomba unapoondoka 2030 basi wilaya ya Nzega iwe mkoa.
Anakuja Rais anasema nimepokea maombi ya MBashe kuwa kabla sijaondoka 2030 Nzega iwe mkoa.
Akili za kuambiwa changanya na zako Kigwangala huna chak0...
Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?
Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?
Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au...
Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au...
Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu.
Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema.
Pia Bashe amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.