bashe

Bashe (Chinese: 巴蛇; pinyin: bāshé; Wade–Giles: pa-she) was a python-like Chinese mythological giant snake that ate elephants.

View More On Wikipedia.org
  1. Mahindi ya Msaada Bomu lingine kwa BASHE

    ZOEZI la ugawaji wa mahindi ya msaada limeonekana kulalamikiwa sana na wananchi wengi hasa wa vijiji walilaumu mfumo wa kuyafuata mahindi hayo ama makao makuu ya wilaya au makao makuu ya Kata na kukutana na urasimu mkubwa. Miongoni mwa mambo ya ajabu yanayonekana Bei ya mahindi ni Sh 800 kwa...
  2. Leonard Mahenda Qwihaya ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi?

    Mshindi wa kwanza wa Kura za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ndg. Leonard Mahenda Qwihaya aliyepata kura 845 ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi? Mwenye historia yake atusaidie nasi tusiomfahamu tumfahamu.
  3. Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

    Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa. Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni Watu wa Kilimo Wanamlalamikia. Sasa hivi anapima udongo anajenga maghala sababu anaamini Wakulima...
  4. Samia alitarajia Bashe amnange Bashiru pale Kondoa

    Hivi punde pale Kondoa Rais Samia akiwa njiani kuelekea Babati alimuita Waziri wa Kilimo ndugu Bashe na kwa msisitizo akamtaka aongelee kwa kina mambo matatu yahusuyo Sekta ya Kilimo ambayo ni Mbolea, Mbegu na Chakula. Ajabu, kwa utulivu na umakini mkubwa ndugu Bashe amefanikiwa kuukwepa mtego...
  5. Yusuph alimwambia mtawala wa Misri wajenge maghala ya chakula, Bashe anamwambia Rais wauze chakula

    Yusufu Mwana Wa Yakobo alipoitwa kutafsiri ndoto ya Mfalme wa Misiri, pamoja na kutafsiri ndoto lakini alimwambia Mfalme kuwa, kutakuwa na njaa na katika nchi basi tujenge maghala ili tutunze chakula. Huyu wa kwetu hapa, Bashe anashauri chakula kiuzwe nje ya nchi. Baadae atamwambia tena...
  6. Mwambieni Bashe kugawa mahindi ya msaada wakati hujafunga mipaka huo nao ni ukurung'unzu!

    Serikali imeanza kusambaza mahindi ya msaada kwenye maeneo yenye njaa kwa bei ya unafuu! wakati huo huo malori yaliyobeba shehena ya mahindi kutoka Rukwa, Katavi, Mbeya na Ruvuma yanavuka mipaka ya Holili na Silali, kwenda Kenya, lakini hakuna mahindi au mchele unaotoka Kenya, Uganda, Rwanda...
  7. Anguko la Bashe ni ruzuku ya Mbolea

    Wabunge wanaendelea kujadili ripoti ya CAG Bungeni wabunge wengi wmeonekana kulalamikia ubabaishaji mkubwa uliopo kwenye mfumo wa utoaji wa ruzuku ya mbolea huku wengi wakidai utaratibu huo unawanufaisha matajiri huku wakulima wakiendelea kulia. Mbunge Condescha Sichalwe na Vita Kawawa...
  8. Waziri Bashe tambua wewe ndiye Yusufu wa Biblia, tafadhali usimpotoshe mfalme

    Nakumbuka kisa cha yusuf.u wa bibilia kule misri ambapo mfalme aliota ndoto ile ambayo ilimshinda tafsiri,baada ya ndoto ile kujirudiarudia ndipo kukaonekana haja ya kumpata mtu atakae weza kuitafsiri. Tafsiri ya yusuf.u ilibaini kwamba kutakuwa na miaka mitatu ya neema sana ambapo yusufu...
  9. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe zuieni uuzwaji wa chakula nje ya nchi, mfumuko wa bei unatisha!

    Mkuu Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje! Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/=...
  10. U

    Waziri Bashe, TADB wanakopesha wakulima gani?

    Habari ndugu wanajamii.Kuna benki inajiita ya kilimo tanzania hawa jamaa sijuhi wanakopesha wakulima wa nchiiii gani??Au ipo kisiasa na kimtego kuadaa wananchii. Ukienda pale watakwambia uende kwenye benki za biashara kwamba wanamakubaliano nao kukopesha wakulima na Wafugaji.Lakini kule benki...
  11. Bashe ebu ingilia kati mfumuko wa bei za vyakula la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi

    Mchele kg 3000 Maharage kg 3000.
  12. M

    Bashe aachie Uwaziri

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani kuomba msaada wa mawazo na ushauri wa namna ya kuendesha Wizara ya Kilimo. "Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako kuhusu Kilimo na usalama wa Chakula kwa nchi za Afrika haswa hapa nyumbani kwetu Tanzania Nini kifanyike...
  13. Nimegundua Bashe hajui maana ya Food Security

    Naamini anajua kiiengeleza sasa namuwekea hapa maana yake. Food security is the measure of the availability of food and individuals' ability to access it. According to the United Nations' Committee on World Food Security, food security is defined as meaning that all people, at all times, have...
  14. Mbolea bei juu, maagizo ya Waziri wa Kilimo kuhusiana na kushushwa kwa bei ya mbolea yamepuuzwa?

    Mbali na tamko la waziri la waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe kutoa bei elekezi ya mbolea kuwa ifikapo tarehe 15/08/22 maduka yote nchini yanayouza pembejeo za kilimo yawe yameshusha bei ya mbolea na kuuza kwa bei elekezi ya serikali ili kumpatia nafuu mkulima. Lakini hadi sasa...
  15. Waziri Bashe masharti ya kupata mbolea yanaashiria mbolea hamna. Nimeanza kukosa imani

    Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea. Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe...
  16. Shaka amwagiza waziri wa Kilimo kumfukuza kazi mara moja Geophrey Chiliga mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora

    CCM YAMUAGIZA WAZIRI WA KILIMO KUMUONDOA MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA TABORA Ni kutokana na kudaiwa kuwa chanzo cha kukwamisha usajili wa Vyama vya msingi kwa wakulima wa tumbaku Shaka apigilia msumari wa mwisho...CCM haitokubali kuona mkulima akiendelea kuteseka* Na Mwandishi Wetu, Tabora...
  17. N

    Serikali imejipanga kwenye sekta ya kilimo

    Natumia nafasi hii, kumshukuru kwa dhati, Rais Samia Suluhu kwa nia aliyoionyesha ya kusaidia na kuwekeza zaidi katika Sekta za Uzalishaji, ulipozindua Agenda 1030, wengi walidhani hayatotokea lakini umehakikisha mambo haya yanatokea" Rais Samia Suluhu umezindua Mfumo wa Utoaji wa Ruzuku ya...
  18. Jumaa Aweso, Hussein Bashe, Innocent Bashungwa nyota zinang'ara

    Hawa ni miongoni mwa Mawaziri wachapakazi na muda wote wanaonekana site kutatua changomoto za zinazowakabili wananchi na kusimamamia miradi inayotekelezwa chini ya Wizara zao. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akiwa Kigoma alichukua hatua kwa msimamizi wa mradi wa maji ambaye mkataba ulikuwa wa miezi...
  19. Kwa haya ya Makamba na Bashe, hakika serikali imebadilika

    "TUJIKUMBUSHE KIDOGO" Mwanzoni mwa mwaka huu, mwezi Januari, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe aliagiza mtuhumiwa aliyekuwa amekamatwa kwa kosa la kuendesha kiwanda bubu cha kutengeneza mafuta ya Mawese katika Kijiji cha Kongowe-Kibaha, Halifa Said atafutwe na asaidiwe na Shirika la kuhudumia...
  20. J

    Bashe na Aweso mnazitendea haki nafasi zenu

    Wana Bodi Mawaziri Hussein Bashe na Jumaa Aweso kwa sasa wanaonekana kung'ara sana kwa wananchi kutokana na jitihada zao wanazofanya za kuleta mageuzi ya kweli katika Sekta wanazoziongoza nimeona Bashe ameshaanza Programu kubwa ya Kilimo cha Umwagiliaji na mashamba yameshaanza kuandaliwa maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…