bashiru

Ayotomiwa Sherif Dele-Bashiru (born 17 September 1999) is a Nigerian professional footballer who plays as a midfielder for Watford.

View More On Wikipedia.org
  1. Nukuu ya Dkt. Bashiru: "Madalali wa mali za Umma hawawezi kupendezwa na kuhojiwa"

    SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru Oktoba 2018 alisema "Madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA." NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
  2. Habari Picha: Dkt. Bashiru akisalimiana na Waziri Mkuu Majaliwa wakiwa na bashasha laini Bungeni, Dodoma

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Dkt Bashiru Ally Kakurwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo Jumatano Juni 21, 2023.
  3. Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria

    Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe. Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda)...
  4. Godbless Lema: Bashiru alitaka kunilipia deni nihamie CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze...
  5. D

    Dk. Bashiru Ally usikae kimya, muokoe Cyprian Musiba

    Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama haina mantiki yoyote kwa siasa za Afrika. Dk. Bashiru kama kweli ni mhafidhina naomba umsaidie Samia...
  6. Nimeshangazwa kutowaona wakina Kabudi, Makonda, Hapi Bashiru na wengine huko Chato. Hongera Waziri Bashungwa

    Bila shaka ni watu ambao kwa namna moja au nyingine aliwabeba na kuwapa nafasi ya kuongoza, kujifunza na kupanda kisiasa Aliziba masikio kelele za watu wengi dhidi ya baadhi yao na hata kukataa ushauri wa watu wa karibu na wataalamu juu ya kuwaweka pembeni, alifikia hatu kusema 'yeye ndio Rais...
  7. Kwanini Polepole, Bashiru, Makonda, Kabudi nk walikuwa wanaamini katika maguvu na ubabe tu?

    Katika uongozi uliopita kila kitu ilikuwa amri na bunge lilikosa kabisa uelekeo wake mana wanachojadili kinaweza kupinduliwa kibabe na asiwepo wa kuhoji. Ikatengenezwa image kwamba wapinzania ni maadui wa nchi kumbe siyo kweli. Mpaka lisu akashambuliwa kwa masasi eti ni msaliti while in actual...
  8. J

    Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

    "Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili. "Nilikuwa nazungumza na...
  9. Mwl. Nyerere aliitabiria mema CHADEMA, Ndugai na Bashiru msihuzunike

    Hizi shangwe sio za bure, Mkutano Mkuu wa CCM umekwisha, mengi tumeyaona na mengi tumeyasikia. Sasa tunafahamu ni nani kasema nini na nani anataka nini. Tumejitoa ufahamu watanzania wote kukubali kuogopa kuiadhibu CCM hata kama inafanya makosa tusiyoyataka. CCM imegeuka Mungumtu, hakuna...
  10. Mzee Makamba ulimi uliteleza, alikuwa kwenye emotions. Je, Bashiru ulimi haukuteleza?

    Ni kweli kabisa hasa kwa wanasiasa wawapo majukwaani, wakiwa wamepandwa na midadi au mihemko (emotions), ulimi wakati fulani huweza kutereza na kusema mambo ambayo hawakukusudia. Jana Mzee Makamba ulimi ulimteleza na kutamka maneno ya maudhi kusiana na vifo vya marais wetu. Bahati nzuri rais...
  11. Bashiru (Oct 12, 2018): Madalali wa mali za umma hawawezi kupendezwa na mijadala ya kujisahihisha

    '....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.' Bashiru - 12 Oct 2018
  12. T

    Je, Dkt. Bashiru ni nani hasa na nani yuko nyuma yake (giza nene)?

    Nawaza nje ya Box. Haya ni mawazo japo nimawazo mazito ktk giza nene na kike kina weza tokea siku zijazo. Nimekuwa mtu napenda kuandika kesho ya Taifa hili ktk mabandiko yangu tofauti tofauti na watu wengine wamekuwa wakihisi nakunidhania hata mm yawezekana nipo ktk list ya watu wanapata nyeti...
  13. S

    CCM wameufyata kwa Dr. Bashiru Ally au mama ndiyo haungwi mkono na ccm?

    Ndugai alipotoa TAHADHARI kwa serikali ya wamu ya 6 kuwa nchi yetu itapigwa mnada endapo itaendelea kukopa fedha hovyo toka nje, CCM na jumuiya zake zote walimjia juu. Na hata siku anamwapisha mrithi wa Ndugai mama aliwashukuru wanaccm wa ngazi zote wakiongozwa na wenyeviti wa mikoa kwa...
  14. A

    Kuimba kupokezana

    Usijasahaulishe, Zama zako ulikua hugusiki enzi hizo unalamba asali ndani kwenye kiyoyozi Sasa zamu za kina Napepe na February. Tulia ujipange upya 2040, kuimba kupokezana. Asante
  15. Dk bashiru ndiye katibu mkuu kiongozi aliyedumu kwa muda mfupi zaidi,siku 37 tu!

    aliteuliwa tar 26 februali na kutumbuliwa tar 31 march! kwani mama alimuondoa haraka sana je alikuwa kirusi? kwa nini hakumpa muda hata wa mwaka mmoja kuna mahali huenda hawakuwa sawa hata kabla ya magufuli kurest in peace? je mama hakupendezewa na uteuzi wake? na hayo yanayotokea sasa msigano...
  16. RC Makalla amtaka Dkt. Bashiru kukaa kimya

    Wakati aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally akiendekea kuandamwa na kauli yake, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amejitosa akimtaka kiongozi huyo kukaa kimya kama hataki kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika...
  17. Tukio la Bashiru Ally na Mkutano wa Waziri wa Uchukuzi vimepangwa, shtuka!

    Kila kunapokuwa na jambo ka moto mara zote CCM huja na vijambo Ili kuwatoa wananchi kwenye umakini. Wote tunajua kuwa moja, kuna mgao mkali sana wa umeme ambao hata haueleweki, kuna mgao wa maji huku bili za maji zikiwa ni zile zile na kuna ucheleweshaji wa mishahara pamoja na ugawaji wa kihuni...
  18. N

    Alichokijenga Bashiru sasa kinambomoa

    Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa Alhamisi, Novemba 24, 2022 Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome By Luqman Maloto Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa Marekani, John Kennedy “JFK”, alipigwa risasi na kuuawa. Mshituko ulikuwa mkubwa kuanzia eneo la...
  19. Ukweli ni kwamba Bashiru kakumbuka Ikulu

    Sina haja ya salamu, Wengi mnamtetea Bashiru kuwa kafanya jambo zuri kwa kauli yake hila, ukweli ni kwamba kuna kipindi mbolea ilipanda sana sokoni Mama akafanya jambo ikashuka bei wakati hili jambo linatatuliwa Dr. Bashiru hakuona? Kipindi iko wakulima walikuwa wanalazimika kuuzia serikali...
  20. Dkt. Bashiru hakuwa yeye wakati ule anaongea. Ameyafunua mengi ambayo hatukuyajua

    Nimemsamehe kule kote ambako alikosea. Ile kauli aliyoitoa hakuwa yeye. Nadhani Mungu alimtumia makusudi kufunua mauchafu yaliyokuwa yamepoa. Tunayasikia sasa yakitoa harufu. Bashiru ameyakoroga tukagundua kumbe kuna mauchafu mengi sema yalikuwa yametulia. Nampongeza sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…