SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru Oktoba 2018 alisema "Madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA."
NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Dkt Bashiru Ally Kakurwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo Jumatano Juni 21, 2023.
Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe.
Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda)...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze...
Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama haina mantiki yoyote kwa siasa za Afrika.
Dk. Bashiru kama kweli ni mhafidhina naomba umsaidie Samia...
Bila shaka ni watu ambao kwa namna moja au nyingine aliwabeba na kuwapa nafasi ya kuongoza, kujifunza na kupanda kisiasa
Aliziba masikio kelele za watu wengi dhidi ya baadhi yao na hata kukataa ushauri wa watu wa karibu na wataalamu juu ya kuwaweka pembeni, alifikia hatu kusema 'yeye ndio Rais...
Katika uongozi uliopita kila kitu ilikuwa amri na bunge lilikosa kabisa uelekeo wake mana wanachojadili kinaweza kupinduliwa kibabe na asiwepo wa kuhoji.
Ikatengenezwa image kwamba wapinzania ni maadui wa nchi kumbe siyo kweli. Mpaka lisu akashambuliwa kwa masasi eti ni msaliti while in actual...
"Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili.
"Nilikuwa nazungumza na...
Hizi shangwe sio za bure,
Mkutano Mkuu wa CCM umekwisha, mengi tumeyaona na mengi tumeyasikia. Sasa tunafahamu ni nani kasema nini na nani anataka nini.
Tumejitoa ufahamu watanzania wote kukubali kuogopa kuiadhibu CCM hata kama inafanya makosa tusiyoyataka. CCM imegeuka Mungumtu, hakuna...
Ni kweli kabisa hasa kwa wanasiasa wawapo majukwaani, wakiwa wamepandwa na midadi au mihemko (emotions), ulimi wakati fulani huweza kutereza na kusema mambo ambayo hawakukusudia.
Jana Mzee Makamba ulimi ulimteleza na kutamka maneno ya maudhi kusiana na vifo vya marais wetu. Bahati nzuri rais...
'....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.'
Bashiru - 12 Oct 2018
Nawaza nje ya Box. Haya ni mawazo japo nimawazo mazito ktk giza nene na kike kina weza tokea siku zijazo.
Nimekuwa mtu napenda kuandika kesho ya Taifa hili ktk mabandiko yangu tofauti tofauti na watu wengine wamekuwa wakihisi nakunidhania hata mm yawezekana nipo ktk list ya watu wanapata nyeti...
Ndugai alipotoa TAHADHARI kwa serikali ya wamu ya 6 kuwa nchi yetu itapigwa mnada endapo itaendelea kukopa fedha hovyo toka nje, CCM na jumuiya zake zote walimjia juu. Na hata siku anamwapisha mrithi wa Ndugai mama aliwashukuru wanaccm wa ngazi zote wakiongozwa na wenyeviti wa mikoa kwa...
Usijasahaulishe, Zama zako ulikua hugusiki enzi hizo unalamba asali ndani kwenye kiyoyozi Sasa zamu za kina Napepe na February.
Tulia ujipange upya 2040, kuimba kupokezana.
Asante
aliteuliwa tar 26 februali na kutumbuliwa tar 31 march! kwani mama alimuondoa haraka sana je alikuwa kirusi? kwa nini hakumpa muda hata wa mwaka mmoja kuna mahali huenda hawakuwa sawa hata kabla ya magufuli kurest in peace? je mama hakupendezewa na uteuzi wake? na hayo yanayotokea sasa msigano...
Wakati aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally akiendekea kuandamwa na kauli yake, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amejitosa akimtaka kiongozi huyo kukaa kimya kama hataki kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika...
Kila kunapokuwa na jambo ka moto mara zote CCM huja na vijambo Ili kuwatoa wananchi kwenye umakini. Wote tunajua kuwa moja, kuna mgao mkali sana wa umeme ambao hata haueleweki, kuna mgao wa maji huku bili za maji zikiwa ni zile zile na kuna ucheleweshaji wa mishahara pamoja na ugawaji wa kihuni...
Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa
Alhamisi, Novemba 24, 2022
Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome
By Luqman Maloto
Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa Marekani, John Kennedy “JFK”, alipigwa risasi na kuuawa. Mshituko ulikuwa mkubwa kuanzia eneo la...
Sina haja ya salamu,
Wengi mnamtetea Bashiru kuwa kafanya jambo zuri kwa kauli yake hila, ukweli ni kwamba kuna kipindi mbolea ilipanda sana sokoni Mama akafanya jambo ikashuka bei wakati hili jambo linatatuliwa Dr. Bashiru hakuona?
Kipindi iko wakulima walikuwa wanalazimika kuuzia serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.