Bungeni kuna vituko mpaka wenyewe wanashangaana na kusikitianaJesca anaongea hoja gani hadi Bashiru anaishia kupatwa na bumbuwazi?
Si utamaduni wa wale wanaovuliwa vyeo kuongea ongea ktk bunge la JMT. isipokuwa muhongo mara moja moja.Dr. Bashiru mbona haongei kabisa bungeni
Watanzania wakishashiba hupoteza akili karibu zote.Hapa ndio ufahamu kuwa CCM imejaza vilaza na propaganda zao.
Bungeni unaweza kuona mpita njia anauliza mpita njia kuwa na wewe unapita.
View attachment 3349330View attachment 3349331
Kwani Bashiru ni nani? Yaani Msavatabangu asiongee anachotaka kwa sababu ya Bashiru?Jesca anaongea hoja gani hadi Bashiru anaishia kupatwa na bumbuwazi?
Sasa yeye mwenye PhD mbona hanyooshi mkono kuongea kama anayo mawazo??Bashiru anaona aibu namna wabunge wa darasa la saba wanavyoliaibisha bunge mbele ya mataifa ya nje kama Kenya.Maana Hawa wabunge wa elimu ndogo wanalifanya bunge Zima lionekane ni la watu wa elimu ndogo wakati Kuna PhD nyingi.Mfano mbunge mwenye akili timamu hawezi kusema mtu apigwe Hadi akaribie kufa(apumulie mashine)wametuaibisha sana hawa wabunge wenye elimu ndogo.Kila nikienda Kenya kwenye biashara zangu naulizwa hivi bunge lenu Kwa Nini linavichaa?Aibu ninayoipata huko kenya ni kubwa sana Mimi kama mtanzania mzalendo.
Mpina???Si utamaduni wa wale wanaovuliwa vyeo kuongea ongea ktk bunge la JMT. isipokuwa muhongo mara moja moja.
1. Makamba kimya
2. Nnauye kimya
3.ndugai kimya
4. Kakurwa kimya
5. Umi Mwalimu kimyaaa
6
7
8
wakishiba nini, madabu au mataptapu?Watanzania wakishashiba hupoteza akili karibu zote.
Wamo humo kuchukuwa mishahara na marupurupu. Si vinginevyo.Dah,
Ndugai ni kama hayumo.
Ukute hata kugonga meza hafanyi.
Ni kama wakitumbuliwa wanasusa kimtindo, au wanaona kuongea ongea kutokea benchi siyo level zao
Kuna vyeo ukisha fika ubunge unaona wamekupeleka ukapumzikeDr. Bashiru mbona haongei kabisa bungeni
Huyu mama Jesca amezidiwa mkorogo au naona vibaya ndugu zangu?Hapa ndio ufahamu kuwa CCM imejaza vilaza na propaganda zao.
Bungeni unaweza kuona mpita njia anauliza mpita njia kuwa na wewe unapita.
View attachment 3349330View attachment 3349331
Dr kalemani yule wa chato ndie kapotea kbsaaa. Sidhan kama atarud bungeniSi utamaduni wa wale wanaovuliwa vyeo kuongea ongea ktk bunge la JMT. isipokuwa muhongo mara moja moja.
1. Makamba kimya
2. Nnauye kimya
3.ndugai kimya
4. Kakurwa kimya
5. Umi Mwalimu kimyaaa
6
7
8
🤣🤣🤣 God bless Dr. BashiruHapa ndio ufahamu kuwa CCM imejaza vilaza na propaganda zao.
Bungeni unaweza kuona mpita njia anauliza mpita njia kuwa na wewe unapita.
View attachment 3349330View attachment 3349331