Dkt. Bashiru, Dkt. Chamuriho & Prof. Manya mbona hawajachukua Fomu za Ubunge 2025-30? Au wanasubiri tena Uteuzi?

Dkt. Bashiru, Dkt. Chamuriho & Prof. Manya mbona hawajachukua Fomu za Ubunge 2025-30? Au wanasubiri tena Uteuzi?

Wasomi wetu hawa (PhD holders) walipata bahati ya kuteuliwa Ubunge kwa zile Nafasi kumi (10) za Mheshimiwa. Sasa zoezi la kuchukua Fomu limepita na wao wapo kimya! Kulikoni?
 
Wakuu, pwenti ni zilezile:
1. High population growth
2. Poor policies
3. Poor health facilities
4. Lack of infrastructure
5. Poor education
6. High illiteracy rate
7. Lack of capital
8. Primitive science and technology
9. Low wages
10. Land alienation
11. Unskilled labor
12. Political imbalance
13. Fear and disunity among citizens
 
Bashiru Ali Kakurwa alishasema mapema kuwa hatagombea na hataki uteuzi wa mtu.
 
Sasa mtu kama Manya anachukua form ya wapi masikini ya Mungu?asubirie Ubalozi tumemuandalia
 
Back
Top Bottom