and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Wasomi wetu hawa (PhD holders) walipata bahati ya kuteuliwa Ubunge kwa zile Nafasi kumi (10) za Mheshimiwa. Sasa zoezi la kuchukua Fomu limepita na wao wapo kimya! Kulikoni?
Hawana njaa hao.Wasomi wetu hawa (PhD holders) walipata bahati ya kuteuliwa Ubunge kwa zile Nafasi kumi (10) za Mheshimiwa. Sasa zoezi la kuchukua Fomu limepita na wao wapo kimya! Kulikoni?
AiseeWameona mbali kama Kasim na Mpango.....
Naunga mkono hoja
Shangaa! Na wangechukua angesema, njaa zinawasumbua. Hawajachukua anawasema.Kwani ni lazima wachukue mkuu?
Watu wanafanya ishu zao...
Walikubalije mwanzoni?Hawana njaa hao.
Wasomi wetu hawa (PhD holders) walipata bahati ya kuteuliwa Ubunge kwa zile Nafasi kumi (10) za Mheshimiwa. Sasa zoezi la kuchukua Fomu limepita na wao wapo kimya! Kulikoni?
kuhusu bashiru,mkasa wake ni sawa na yule wa ruangwa,chamriho na manya sio watu wa bungeWasomi wetu hawa (PhD holders) walipata bahati ya kuteuliwa Ubunge kwa zile Nafasi kumi (10) za Mheshimiwa. Sasa zoezi la kuchukua Fomu limepita na wao wapo kimya! Kulikoni?
Hawakuelewa wanachokubali.Walikubalije mwanzoni?