Sura ya Bashiru Ally Kakurwa inazungumza mambo mengi sana !

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Sura huwa inazungumza.

Ukimtazama Bashiru

Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa

Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi.

Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ?

Wabunge wa ccm asilimia kubwa walirudi bungeni kwa nguvu ya Bashiru

Je asubiri uteuzi?

Je asipopata uteuzi arudi UDSM kuandaa Modules.

Hakika Bashiru ulijisahau Sana na unaenda kuwa underutilized

Screenshot_20250527-144439_1748346307058.jpg
 
..Dr.Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa Ccm ndio alitumika kuwapitisha hao wabunge wanaolinajisi Bunge.

..Na Dr.Bashiru ana mchango mkubwa sana katika kuhujumu vyama vya upinzani, na kuvuruga demokrasia yetu, kipindi alipokuwa Katibu Mkuu wa Ccm.
 
Sura huwa inazungumza.

Ukimtazama Bashiru

Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa

Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi.

Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ?

Wabunge wa ccm asilimia kubwa walirudi bungeni kwa nguvu ya Bashiru

Je asubiri uteuzi?

Je asipopata uteuzi arudi UDSM kuandaa Modules.

Hakika Bashiru ulijisahau Sana na unaenda kuwa underutilized
Aliingia chaka bunge la mambumbumbu naye akawa sehemu yao
 
Sura huwa inazungumza.

Ukimtazama Bashiru

Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa

Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi.

Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ?

Wabunge wa ccm asilimia kubwa walirudi bungeni kwa nguvu ya Bashiru

Je asubiri uteuzi?

Je asipopata uteuzi arudi UDSM kuandaa Modules.

Hakika Bashiru ulijisahau Sana na unaenda kuwa underutilized

View attachment 3347499
That snake was so evil and poisonous to the Jiwe's regime. Huyu hakupaswa kupewa yale madaraka mpuuzi sana hawa ndio walianzisha ushenzi wa kuteka na kuua watu wenye mawazo yanayopingana na matakwa yao.

Huyu mshenzi nae ni wa kupiga risasi hadharani.
 
Hana anachowaza....zaidi ya jinsi ya kupata fedha
 
Back
Top Bottom