Hili swali naulizwa sana,
“nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa.
Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa.
Wengine wakaniambia
…haina haja ya kumfata mwanamke usiye mjua kuongea naye. Utakutana na wengine mahali unapokua mara kwa mara. Alafu...
Haya mambo matatu ni ya muhimu sana kwa vijana waliopo kwenye siasa
1. Kuna maisha baada ya Cheo /siasa.
2. Siasa haina rafiki au adui wa kudumu bali kinachoangaliwa ni maslahi .
3. Siasa ni mchezo mchafu waachwe wanao uweza waucheze.
Mwisho huyu mwanaharakati akumbushwe ni bora ajifunze kwa...
Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika...
Sisi ambao tunakuwa sana nje ya nchi tukirudi tunabaguliwa sana. Sababu ya pamba tunazopiga na pesa. Yaani hata mademu unaona kabisa wanatubagua. Wanataka sisi kwetu wawe hivyo na kwa ninyi wawe vile.
Serikali iangalie suala la uraia pacha pia. Humu JF wengi ni Watanzania tunaoishi nchi za ukweli.
Ametutoka huyu mwamba na sauti zinasikika kutoka pande zote za nchi ya kwamba huyu mtu alikuwa hazina ya taifa ni kweli.
Inawezekana alikuwa hazina lakini kwa makusudi mliamua kumpuuza..membe kama kweli hizo sifa mnazompa ndizo basi mliamuaje kumpiga benchi kijana wa kitanzania na...
1. Kwao huwa hawafungiki na Wageni
2. Kwao hucheza kwa Spidi ya Kutukuka na isiyoelezeka
3. Uwanja wao wa Nyumbani ni mkubwa na mpana kuliko mbovu wa Jangwani na wa Watalii wa Kigamboni
4. Wakiwa Kwao wana Fitna za Kisayansi.
5. Usithubutu Kuwaroga kwani licha ya Wao Kuujua huo Uchawi ila...
Huku nyuma awamu ya 5 kila jaribio la wale nawaita wahuni kushika ndege za ATCL ili kulipwa madeni ya mchongo na Tanzania yamekua yanashindwa na ndege zimekua zinaachiwa baada ya muda mfupi. Wakati wa awamu ya 5 tuliona pale jaribio la kushika ndege ya ATCL kule afrika ya kusini liliposhindwa...
Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku.
Wana visirani na viburi sijawahi ona.
Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake...
Mahakama Kuu ya Tanzania imempa siku 14 za kazi mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba na wenzake watatu kumlipa Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Benard Membe TZS bilioni 9.92 kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vya habari.
Mahakama imetahadharisha deni hilo lilipwe ndani ya muda...
Wanawake jifunzeni basi, hata kama mme wako nakushirikisha mara chache kwenye deals zangu za biashara usijiweke uhusika ambao sijakupa. Kuna mwanamke nimezaa nae na anakaa kwenye nyumba yangu huko mkoani, mimi nipo zangu hapa Town nimeajiriwa ofisi fulani na nimepanga ila mara kwa mara huwa...
Tuvijana twa siku hizi.... Tunapenda sana.
1. Kulelewa na mijimama
2. Kudanga
3. Kuwa Chawa
4. Kuwa NDO BASI TENA (MASHOGA)
Yaani hawataki kazi za wima, kazi sugu na kazi za kazi. Wanataka kuinama tu au kukalia kitu wapate pesa. Yaan unashangaa kakijana kanamwona mmama ana gari kanaanza...
Mapenzi yana nguvu sana. Yule ninaye mopenda toka moyoni nimemtumia Heri ya Eid tangu Jana saa 2 usiku lakini wewe ambaye umejifaragua na kunitumia salaam imekula kwako. Unatumika tu kama ATM.
Poleni nyote msiopendwa, ambao bila kuanza wewe kutoa salaam kwa mpenzi wako, hupati salaam toka kwake.
Ndg wanajamii Kuna mambo yanaendelea lakin ukweli ni maslahi pekee.
Sasa pamoja na challenge zote Bado Kuna matatizo ya kimfumo.
Mwl na koi saw key performance indicator zitapatikana vyuoni au maekelezo??
Nina imani na wabunge wazalendo walioko Bungeni ambao hawana hatia juu ya ubadhirifu ulioibuliwa na CAG, hawaungi mkono mafisadi kupewa miezi sita ili hatua kuchukuliwa!
Lakini pia, Karibu 90% ya wananchi hatuungi mkono hoja ya mh Sipika kuyapa miezi sita majambazi ya CCM
Kipindi cha...
Rejelea kifo cha maraisi wakiwemo Saadam Hussein, Gaddaf na wengineo wengi ikiwemo wa Africa kama Idd Amin na wengineo hii inadhihirisha kuwa raisi anayekandamiza demokrasia basi hung'olewa madarakani kwa lazima.
Marekani haitakuwa tayari kuwaacha maraisi wenye tabia kama hizi kuendelea...
Tuna watoto mandazi sana siku hizi, hata Michezo imepungua ya kumjenga mtoto kiakili kwanini mambo machafu yasipate nafasi.
kuna maana kubwa ya kuwepo michezo tofauti tofauti katika maisha yetu.
Ajali za barabarani zinaepukika ukiachilia mbali matatizo ya kibinadamu. Kuna sababu nyingi sana zimekuwa zikitajwa, lakini mimi niseme mbali na sababu zote hizo zinazotajwa chanzo kikubwa ni abiria wenyewe.
Sijui ni ukosefu wa elimu ya kwa Watanzania au kudharau au kuona muda wote Mungu yupo...
Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa, kufuatia ajali iliyotokea maeneo ya Mbezi Luguluni, ikihusisha Basi la kampuni ya Burudani, lililokuwa likitokeaa mkoani Tanga kuelekea Dar es Salaam, ambapo basi hilo linadaiwa kuwa lilikuwa kwenye mwendokasi, hivyo wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.