Akizungumza na kituo cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Ramadhani Ng'azi amesema wameanza uchunguzi kubaini sababu za dereva wa basi la Simba SC kuendesha basi hilo reverse (Kinyumenyume) wakati akielekea katika dimba la Mkapa kwenye mchezo wa klabu...
Waswahili wanapenda sana kukomalia mambo ma hata pale ushahidi ukiwa hafifu au wakiletewa ushahidi tofauti na wanachotaka kuamini, wanakuwa wagumu kukubali.
Nimeona clip inayosambaa ya basi la Simba likirudi kinyume katika mtaa mmoja mwembamba. Kwanza sielewi kinachoshangaza nini kwa gari...
Star Times wana Channel yao Moja niipendayo ya ( ihusuyo ) Wanyama na Maisha yao na kuna Siku niliona Simba Jike anarudi Kinyumenyume vile vile tayari kwa Shughuli Maalum na Simba Dume.
Na kinachoniumiza zaidi MINOCYCLINE ni Kitendo cha Jana Basi la Simba SC kurudi Kinyumenyume vile huku tukiwa...
Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde.
Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu Wachezaji wakiongozwa na Babu (Mzee) Joash Onyango wajitahidi kujisaidia uwanjani kwa Mkapa ili...
Niite Lyrics
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo home, njoo home
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo home, njoo home
I really can get no sleep
Think about your love...
Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba"
Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu.
Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo...
Ukiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda:
👉Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mara anakua agressive balaa
👉Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: Hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali🤣🤣 serikali ifanyeje Sasa?
👉Kukosoa kosoa watu na kuona Kila...
Pichani watoto hawa wamekutwa wakisafiri uvunguni mwa basi la Happy Nation Bukoba - Mwanza:
Hadi wanafumwa huko chini walikuwa wameshamaliza angalau kilometers 200.
Hawa ndiyo ile sampuli ya watoto wa wakulima tunaotaka kuaminishana kwa nguvu kuwa wazazi wao sasa wanaouza chakula nje. Kwamba...
Ninachoendelea kukiona Bungen ni kile nilichowahi kusema humu, Asilimia Kubwa ya Wabunge wetu aisee ni Vilaza sana, na pamoja na ukilaza, wengi wao ukilaza unawafanya wamchukie yule mtu ambaye anaonekana ni Mwenye Upeo mkubwa.
Jamani Ndugu zangu Wabunge, Kua Mbunge sio kupiga makofi, sio...
Leo basi la Shabib VIP la saa 8 toka Dar (Shekilango) kwenda Dodoma, abiria walitakiwa wabadirishiwe basi na walitakiwa walifuate Stendi ya Magufuli, Mbezi. Sijui kama walifanikiwa kusafiri au la. Ila mkatisha tiketi (mdada) pale Shekilango alikiona cha moto.
Jana, basi la Buti la Zungu la saa...
Huko nyuma ulianza kwa Kuwatuhumu Watu wa TISS ukatuchanganya.
Katikati tena ukaja kusema Ulishambuliwa na Askari wa Kukodi wa Rwanda.
Hukuchelewa miaka kadhaa nyuma ukiwa Ulaya ulikokaribishwa ukawatuhumu Police Tanzania.
Haya jana sijui leo nimeona Umewatuhumu Wanajeshi kwa lililokutokea...
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.
Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.
Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Serikali kuondoa utambuaji wa shule Bora na wanafunzi Bora kwa kisingizio wengi wao wanakua ni kutoka private schools sio sawa. Shule za advance za private wanaosoma pia Wana Hali nzuri za kimaisha na ndo pia wanafaulu kwa alama za juu zaidi.
Ili upate SAMIA scholarship lazima pia huwe na...
Habarini wana JF
Naomba kujua safari ya kwenda Afrika Kusini kwa basi gharama zake kwa aliyesafiri hivi Karibuni pamoja na mabasi yanayokwenda huko.
Asanteni
Kwanza niwe muwazi ( nikiri ) kuwa GENTAMYCINE napenda sana Paka na ninae Mmoja namfuga na ukitaka Ugombane nami mguse ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa hauna Kolabo.
Hata hivyo sipendi Paka ambao Wanafugwa na wenye Nyumba ila hawana Adabu pindi Nyumba husika ikitembelewa...
Mwaka 2002 nikiwa nyumbani kwa mzee wangu fulani niliemtembelea nilipata bahati ya kutazama albamu ya picha zake. Mnakumbuka enzi hizo hakuna social media hata Tv bado sio sana kwahiyo mgeni kupewa albamu kutazama ilikuwa mojawapo ya kiburudisho. Nilivutiwa na picha za familia alizopiga miaka ya...
Naelekea Mwanza kwenda kukiwasha.
CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye.
Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha mpaka kieleweke.
Kama umebahatika kuingia mikoani na vitongoji ndani ndani unaona kabisa watu wanaishi tu basi ila tu sababu wapo kutafuta mkate na ukiangalia kila familia iliyopo mkoani kazi ya ndugu 1-9 wote wapo Dar.
Sababu zinazopelekea Dar kila mtu kuwepo ni kutobalance huduma na maendeleo vyuo vizuri vipo...
Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani.
Kwa mujibu wa taarifa ya Rais kuptitia Twitter, ajali hiyo ilitokea kati ya miji ya kaskazini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.