Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori.
Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi, ambapo nilibahatika kukaa na binti mrembo ambaye alikuwa sio muongeaji sana; ila kutokana na urefu...